Naibu Waziri wa OR-TAMISEMI Mhe David Silinde atembalea ujenzi wa madarasa katika shule ya sekondari Kinyanambo tarehe 16/12/2021.Akiwa shule hapo alipata fursa ya kukagua ujenzi wa madarsa na kuongea na uongozi wa wilaya ya Mufindi.Amepongeza sana kwa ujenzi wa madarasa bora na yenye viwango vikubwa na kupita matarajio yaliyohitajika.Ujenzi huu wa madarasa mapya ni juhudi za Mhe rais wa jamuhri ya tanzania Mhe SAMIA SULUHU HASSAN katika mapambano ya UVIKO 19.
Copyright ©2018 Mafinga Town Council . All rights reserved.