Halmashauri ya Mafinga Mji inapenda kuwataarifu waombaji wa nafasi ya kazi ya Msimamizi wa TEHAMA katika zoezi la Sensa iliyotangazwa na Serikali kuwa itafanyika tarehe 19/07/2022 siku ya Jumanne saa 2.00 asbuhi. Pakua hapo chini kupata tangazo kamili na orodha ya majina.
Mafinga Town.
Postal Address: Po.Box 76 Mafinga
Simu: +255 262 772 393
Mobile: 026-2772393
Barua Pepe: td@mafingatc.go.tz
Copyright ©2018 Mafinga Town Council . All rights reserved.