MKUU WA IDARA
MWALIMU, DOROTH KOBELO
UTANGULIZI:
Halmashauri ina jumla ya Shule za msingi 44 zikiwemo shule 30 za Serikali na Shule 14 zisizo za Serikali. Jumla ya wanafunzi wa Shule za Serikali ni 21,616 ambapo wavulana ni 10,775 na wasichana ni 10841 na walimu 382.
MIRADI YA BOOST 2023- TSH. 1,048,600,000/=
ORODHA YA SHULE ZA MSINGI ZILIZOPATA MGAO WA FEDHA ZA UJENZI WA MIUNDOMBINU YA SHULE KUPITIA MRADI WA BOOST MWEZI FEBRUARI 2023
1. GANGILONGA:
UJENZI WA MADARASA NA MATUNDU YA VYOO
TSH.156,000,000/=
2. BUMILAYINGA
UJENZI WA VYUMBA VYA MADARASA YA MFANO YA ELIMU YA AWALI
TSH. 69,100,000/=
3. MJIMWEMA
UJENZI WA VYUMBA VYA MADARASA NA MATUNDU YA VYOO
TSH.131,000,000/=
4.MWONGOZO
UJENZI WA SHULE MPYA MKONDO 1
TSH.347,500,000/=
5.KINYANAMBO
UJENZI WA VYUMBA VYA MADARASA NA MATUNDU YA VYOO
TSH. 83,000,000/=
6. NYAMALALA
UJENZI WA VYUMBA VYA MADARASA NA MATUNDU YA VYOO
TSH. 131,000,000/=
7. SABASABA
UJENZI WA VYUMBA VYA MADARASA NA MATUNDU YA VYOO
TSH.131,000,000/=
JUMLA KUU TSH. 1,048,600,000/=
UJENZI WA SHULE YA MCHEPUO WA KINGEREZA( CHIEF MKWAWA)
\ALAMA_ZA_MTIHANI.xlsTATHMINI_MOCK_MKOA__MAFINGA_TC.xlsxMuhtasari wa Hisabati Darasa la III-VI.pdfMuhtasari wa Kiswahili Darasa la III-VI.pdfMuhtasari wa Maarifa ya Jamii Darasa la III-VI.pdfMuhtasari wa Sayansi na Teknolojia Darasa la III-VI.pdfMuhtasari wa Stadi za Kazi Darasa la V-VI.pdfMuhtasari wa Uraia na Maadili Darasa la III-VI.pdfMwongozo wa Kamati Inside (2).pdfFOMU YA LIKIZO.pdfMwongozo wa Ujazaji fomu za OPRAS.pdf
ENGLISH MEDIUM CHIEF MKWAWA TAYARI IMEANZA KATIKA HALMASHAURI YA MJI MAFINGA NA NAFASI BADO ZIPO
KILA LA KHERI WANAFUNZI WA DARASA LA SABA KATIKA MTIHANI WA TAIFA 2024
MKURUGENZI MJI MAFINGA BI FIDELICA MYOVELLA AKIZUNGUMZA NA WANAFUNZI WA DARASA LA SABA WANAOTARAJI KUFANYA MTIHANI WA TAIFA 2024
MK
MKUU WA MKOA WA IRINGA MHESHIMIWA PETER SERUKAMBA AKIKAGUA UJENZI WA DARASA KATIKA SHULE YA MSINGI UPENDO
UJENZI WA VYUMBA VITATU VYA MADARASA KATIKA SHULE YA MSINGI KILIMANI KATA YA ISALAVANU UJENZI UPO HATUA YA UMALIZIAJI GHARAMA YA MRADI MILIONI 75.
UJENZI WA VYOO MATUNDU 6 YA WASICHANA KATIKA SHULE YA MSINGI KILIMANI KATIKA KATA YA ISALAVANU, UJENZI UPO HATUA YA UPIGAJI WA LIP. GHARAMA ZA MRADI MILIONI 13
Mafinga Town.
Postal Address: Po.Box 76 Mafinga
Simu: +255 262 772 393
Mobile: 026-2772393
Barua Pepe: td@mafingatc.go.tz
Copyright ©2018 Mafinga Town Council . All rights reserved.