• Malalamiko |
    • Wasiliana na sisi |
    • Maswali |
    • Baruapepe |
Mafinga Town Council
Mafinga Town Council

Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Mafinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Organization Structure
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Kilimo na umwagiliaji
      • Fedha
      • Mipango na Takwimu
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi
      • Afya
      • Ardhi na Maliasili
      • Community Development,Social welfare Gender and Youth
      • Water
      • Work
    • Vitengo
      • Community
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Manunuzi na Ugavi
      • Uchaguzi
      • Huduma za Kisheria
      • Biashara
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa madiwani
    • Kamati Za Kudumu Za Halmashauri
      • Fedha Na uongozi
      • Mipangomiji Namazingira
      • Uchumi, Fedha Na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao Vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana Na Mwenyekiti
  • Miradi Mbalimbali
    • Progressive projects
    • Itakayo Tekelezwa
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Machapisho ya Habari
    • Videos
    • Hotuba
    • Makitaba ya Picha
    • Taarifa
    • Matukio
  • Malalamiko

DC MUFINDI MHE.DKT LINDA SALEKWA ASIKILIZA KERO ZA WANANCHI KATA YA WAMBI- MAFINGA TC

Posted on: November 20th, 2023

“ Kila mmoja asimame kwenye nafasi, turudi kwenye maadili yetu na Mila zetu, Tuzifuate.”


Kauli hiyo imetolewa na Mkuu wa Wilaya ya Mufindi Mheshimiwa Dkt. Linda Salekwa alipokuwa kwenye mkutano wa hadhara kusikiliza na kutatua kero za wananchi wa Kata ya Wambi katika Halmashauri ya Mji Mafinga.


Amesema Ulawiti na Ubakaji kwa watoto umekithiri jambo ambapo linapekekea watoto wengi kuathirika na kukatishwa haki zao za Msingi za kusoma na kuharibika Afya zao.


“ hebu turudi kwenye mila zetu na tamaduni zetu, Ni Mila na desturi za wapi za kubaka watoto na kuwalawiti na nyie wakina mama mnasimama na kusema mtamaliza matatizo hayo kifamilia! Sio kwenye Wlaya yangu ya Mufindi ntakusaka popote ulipo na ntahakikisha sheria zinachukuliwa” tusiwakatishe maisha yao watoto na unapoona vitendo hivi toa taarifa haraka”


Aidha Mkuu wa Wilaya ya Mufindi amesikiliza, kutolea ufafanuzi, kutatua na Kutoa maagizo kuhusu kero alizozipokea.

Moja ya kero aliyopokea Ni kuhusiana na vibali vya ujenzi kutaka mwananchi Kata ya Wambi kujenga kwa kufuata rangi pendekezwa ya bati ambayo ni kijivu. Akijibu Mhandisi Mji Mafinga Christopher Nyamvugwa amesema rangi za bati kulingana na eneo zinasaidia, kupendezesha Mji, hazichakai haraka hivyo Mji kuonekana vizuri muda wote na zinasaidia kutofautisha Kata na Kata.


Naye Diwani wa Kata ya Wambi Mheshimiwa Meja Kalinga amemshukuru Mkuu wa Wilaya Mheshimiwa Dkt. linda Salekwa kwa kufika Kata ya Wambi na kuzungumza na wananchi wa Kata hiyo na kutolea ufafanuzi kuhusu tatizo la Moto, TASAF na Ulinzi na Usalama.


Viongozi mbalimbali ngazi ya Wilaya wamehudhuria mkutano huo akiwemo Kaimu Mkurugenzi Bi, Doroth Kobelo na wataalamu mbalimbali kutoka Halmashauri ya Mji Mafinga.


Sima Bingileki 

Mkuu wa Kitengo Cha Mawasiliano Serikalini-Mafinga TC


Matangazo

  • NAFASI ZA MASOMO KWA SHULE YA CHIEF MKWAWA ENGLISH MEDIUM- HALMASHAURI YA MJI MAFINGA. NAFASI BADO ZIPO TUPIGIE January 29, 2024
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA YANAPATIKANA www.mafingatc.go.tz July 13, 2024
  • MJI MAFINGA YAVUKA LENGO UKUSANYAJI MAPATO YAKUSANYA ASILIMIA 113 KWA MWAKA WA FEDHA 2023/2024 August 14, 2024
  • MATOKEO YA DARASAM LA SABA 2024 YANAPATIKANA KWENYE TOVUTI YETU .www.mafingatc.go.tz October 30, 2024
  • View All

Habari mpya

  • VITUO VYOTE VYA KUTOLEA HUDUMA ZA AFYA VIFUNGWE MFUMO WA GoT-HOMIS

    June 20, 2025
  • HALMASHAURI YA MJI MAFINGA YAPATA HATI SAFI YA UKAGUZI KUTOKANA NA TAARIFA YA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI (CAG) KWA HESABU ZINAZOISHIA TAREHE 30 JUNI 2024

    June 19, 2025
  • HALMASHAURI YA NKASI YAITEMBELEA MAFINGA MJI KUBADILISHANA UZOEFU

    June 18, 2025
  • MWANZA NA DODOMA ZATINGA FAINALI SOKA WAVULANA UMITASHUMTA 2025

    June 17, 2025
  • View All

Video

SENSA NI MAENDELEO
Video zaidi

Viungo Vya Haraka

  • Maelezo na Form Ya kiapo cha uadilifu
  • https://matokeo.necta.go.tz
  • Muongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Utumishi
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya wananchi

Watembeleaji kidunia

world map hits counter

Idadi ya watu wanao tembelea Tovuti

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana na sisi

    Mafinga Town.

    Postal Address: Po.Box 76 Mafinga

    Simu: +255 262 772 393

    Mobile: 026-2772393

    Barua Pepe: td@mafingatc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Copyright ©2018 Mafinga Town Council . All rights reserved.