Halmashauri ya Mji Mafinga imeendesha mafunzo ya kutumia mfumo wa ukaguzi(IFTIMS) Inspection and Financial Tracing Management information systems ambao utaongeza ufanisi na welidi wa kazi katika Halmashauri.
Akita mafunzo hayo Mkaguzi wa ndani Ndugu Godson Kapinga amewataka wakuu wa idara na vitengo kuhakikisha wanatumia mfumo huu kwani ni mfumo huu ni wa kidigitali na unarahisisha ufanyaji wa kazi ikiwemo ujibuji wa hoja.
Aidha ameongeza kuwa mfumo huu aujabadilika Ukilinganisha na mfumo wa ujibuji hoja wa zamani ila kilichobadilika ni taarifa zote zitapakiwa katika mfumo na kwenda ngazi kwa ngazi katika ujibuji wa hoja za ukaguzi hadi ngazi ya mwisho.
Michael Ngowi
Afisa Habari
Mafinga Town.
Postal Address: Po.Box 76 Mafinga
Simu: +255 262 772 393
Mobile: 026-2772393
Barua Pepe: td@mafingatc.go.tz
Copyright ©2018 Mafinga Town Council . All rights reserved.