• Malalamiko |
    • Wasiliana na sisi |
    • Maswali |
    • Baruapepe |
Mafinga Town Council
Mafinga Town Council

Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Mafinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Organization Structure
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Kilimo na umwagiliaji
      • Fedha
      • Mipango na Takwimu
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi
      • Afya
      • Ardhi na Maliasili
      • Community Development,Social welfare Gender and Youth
      • Water
      • Work
    • Vitengo
      • Community
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Manunuzi na Ugavi
      • Uchaguzi
      • Huduma za Kisheria
      • Biashara
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa madiwani
    • Kamati Za Kudumu Za Halmashauri
      • Fedha Na uongozi
      • Mipangomiji Namazingira
      • Uchumi, Fedha Na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao Vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana Na Mwenyekiti
  • Miradi Mbalimbali
    • Progressive projects
    • Itakayo Tekelezwa
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Machapisho ya Habari
    • Videos
    • Hotuba
    • Makitaba ya Picha
    • Taarifa
    • Matukio
  • Malalamiko

HALMASHAURI YA MJI MAFINGA YAADHIMISHA SIKU YA UKIMWI DUNIANI KWA KUTOA HUDUMA ZA UPIMAJI BURE

Posted on: December 1st, 2022

Halmashauri ya Mji Mafinga imeadhimisha Siku ya Ukimwi duniani kwa kutoa huduma za upimaji bure nje geti la hospitali ya Mji Mafinga. Huduma zinazotolewa bure ni upimaji wa kifua kikuu,kupima VVU, kupima kisukari, maralia, kuchukua vipimo vya COVID 19 na kutoa chanjo ya COVID

Akiongea Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Mji Mafinga Dkt.Chitopela Bonaventura amesema kuwa Maadhimisho yalianza tangu tarehe 28/11 kwa kutoa  huduma mbalimbali za upimaji kwenye maeneo ya mikusanyiko ya watu,vituo vya Afya na zahanati.

Ameongeza kuwa Elimu ilitolewa na Mawakili Tiba kwa jamii kwa kata zote 9 kuhusu ufuasi mzuri wa dawa kwa watu wanaoishi na maabukizi, elimu ya upimaji na ushauri kwa magonjwa mbalimbali.

Mwananchi Aneth Kiswaga aliyefika kwenye maadhimisho hayo yaliyofanyika nje ya hospitali ya Mafinga Mji kwaajili ya kupokea chanjo ya UVICO 19 amesema kuwa, huduma hizi zisisubiri maadhimisho, watu wanazihitqji sana mitaani lakini wengi hatuna utaratibu wa kuja hospitali tunajitibia wenyewe kumbe tunadhoofisha afya zetu.

“ Tunaomba msisubiri maadhimisho tunaomba hata hili turubai

Libaki hapa tukipita tunakuja hapa tunapima kusubiri mpk tupange foleni hospitali wengi wazito hapa nimepima maralia bure, vipimo vingine wamechukua kwa kweli huu utaratibu mzuri mno tunaomba uendelee” Kauli ya Aneth Kiswaga aliyepatiwa huduma siku ya Maadhimisho ya UKIMWI.

Maadhimisho yamehudhuriwa na waheshimiwa Madiwani, wakuu wa Idara, wananchi na wadau wa Afya wakiwemo HUHESO Foundation, USAID AFYA YANGU, IDYDC,RDO, Afya Women Group na Chuo cha Maendeleo ya Jamii Rungemba

Maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani yamebeba kauli mbiu ya IMARISHA USAWA, “ USAWA WA KIJINSIA, USAWA WA HUDUMA NA USAWA WA HAKI ZA BINADAMU” yameadhimishwa na kusimamiwa na Idara ya Afya na Maendeleo ya Jamii kwa Halmashauri ya Mji Mafinga.


IMEANDALIWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI-MAFINGA TC

Sima Bingileki

Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini -Mafinga TC

Matangazo

  • NAFASI ZA MASOMO KWA SHULE YA CHIEF MKWAWA ENGLISH MEDIUM- HALMASHAURI YA MJI MAFINGA. NAFASI BADO ZIPO TUPIGIE January 29, 2024
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA YANAPATIKANA www.mafingatc.go.tz July 13, 2024
  • MJI MAFINGA YAVUKA LENGO UKUSANYAJI MAPATO YAKUSANYA ASILIMIA 113 KWA MWAKA WA FEDHA 2023/2024 August 14, 2024
  • MATOKEO YA DARASAM LA SABA 2024 YANAPATIKANA KWENYE TOVUTI YETU .www.mafingatc.go.tz October 30, 2024
  • View All

Habari mpya

  • TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI IMEENDESHA MAFUNZO YA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA KWA AWAMU YA PILI JIMBO LA MAFINGA MJINI

    May 02, 2025
  • MWENGE WA UHURU 2025 KATIKA HALMASHAURI YA MJI MAFINGA UMEPITIA JUMLA YA MIRADI 11 YA MAENDELEO YENYE THAMANI YA SHILINGI BILIONI 3.1

    May 01, 2025
  • MWENGE WA UHURU 2025 KATIKA HALMASHAURI YA MJI MAFINGA UMEPITIA JUMLA YA MIRADI 11 YA MAENDELEO YENYE THAMANI YA SHILINGI BILIONI 3.1

    May 01, 2025
  • MBUNGE WA MAFINGA MJI AKABIDHI MITUNGI YA GESI

    May 01, 2025
  • View All

Video

SENSA NI MAENDELEO
Video zaidi

Viungo Vya Haraka

  • Maelezo na Form Ya kiapo cha uadilifu
  • https://matokeo.necta.go.tz
  • Muongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Utumishi
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya wananchi

Watembeleaji kidunia

world map hits counter

Idadi ya watu wanao tembelea Tovuti

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana na sisi

    Mafinga Town.

    Postal Address: Po.Box 76 Mafinga

    Simu: +255 262 772 393

    Mobile: 026-2772393

    Barua Pepe: td@mafingatc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Copyright ©2018 Mafinga Town Council . All rights reserved.