• Malalamiko |
    • Wasiliana na sisi |
    • Maswali |
    • Baruapepe |
Mafinga Town Council
Mafinga Town Council

Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Mafinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Organization Structure
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Kilimo na umwagiliaji
      • Fedha
      • Mipango na Takwimu
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi
      • Afya
      • Ardhi na Maliasili
      • Community Development,Social welfare Gender and Youth
      • Water
      • Work
    • Vitengo
      • Community
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Manunuzi na Ugavi
      • Uchaguzi
      • Huduma za Kisheria
      • Biashara
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa madiwani
    • Kamati Za Kudumu Za Halmashauri
      • Fedha Na uongozi
      • Mipangomiji Namazingira
      • Uchumi, Fedha Na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao Vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana Na Mwenyekiti
  • Miradi Mbalimbali
    • Progressive projects
    • Itakayo Tekelezwa
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Machapisho ya Habari
    • Videos
    • Hotuba
    • Makitaba ya Picha
    • Taarifa
    • Matukio
  • Malalamiko

KAMATI YA SIASA YA WILAYA YA MUFINDI IMEFANYA ZIARA YA KUKAGUA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO KATIKA HALMASHAURI YA MJI MAFINGA.

Posted on: November 7th, 2023

“ Tuhakikishe tunazitangaza kazi nzuri zinazofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dr.Samia Suluhu Hassan na Serikali ya Chama Cha Mapinduzi kwani Miradi inayoletwa Fedha Ni Mingi hasa katika Sekta ya Elimu na Niwapongeze Halmashauri ya Mji Mafinga Chini ya Mkurugenzi wake Ndugu Ayoub Kambi na Wataalamu wote kwa kusimamia Miradi vizuri na Thamani ya Mradi na Fedha iliyowekwa inaonekana.  Hakika mnatekeleza Ilani ya Chama Cha Mapinduzi kwa Vitendo”

Kauli hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Mufindi Mhe. George Kavenuke akiwa na Kamati Siasa ya Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Mufindi kwenye ziara ya kukagua Utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi ilipo fanya ziara katika Shule ya Msingi Bumilayinga kukagua Ujenzi wa Madarasa 2  ya Awali ya Mfano ujenzi wa Vyoo matundu 6 na uwekaji wa michezo ya watoto(BOOST)

Pia Kamati ya Siasa Imekagua Ujenzi wa nyumba ya walimu (2 in 1) katika Shule ya Sekondari Saohill ambapo Ujenzi upo hatua ya Ukamilishaji na ujenzi wa Madarasa 5 na vyoo matundu 6 (BOOST) katika Shule ya Msingi Sabasaba Kata ya Changarawe

Akitoa taarifa Mkurugenzi wa Mji Mafinga Ndugu Ayoub Kambi amesema katika Ujenzi wa Madarasa 2 ,matundu 6 ya vyoo na Michezo ya watoto katika Shule ya Msingi Bumilayinga Halmashauri ilipokea jumla ya Shilingi milioni 69.1 kutoka Serikali Kuu na Mradi umekamilika.


Amesema Ujenzi wa nyumba za walimu katika Shule ya Sekondari Saohili(2in1) Halmashauri ilipokea shilingi milioni 100 na Jengo lipo katika hatua za ukamilishaji.

Kamati ya Siasa ya Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Mufindi imekamilisha ziara yake kukagua ujenzi wa madarasa matano na matundu 6 ya vyoo, ambapo mradi umekamilika na Fedha pokelewa ilikuwa kiasi cha shilingi milioni 131 kutoka Serikali Kuu.

Katibu Tawala Wilaya ya Mufindi Ndg. Frank Sichalwe kwa niaba ya  DC- Mufindi amempongeza Mkurugenzi wa Mji Mafinga na Wataalamu kwa usimamizi wa Miradi ya Maendeleo na kuwataka Wataalamu wote wa Wilaya ya Mufindi kuhakikisha Miradi yote inakamilika kwa ubora na wakati ili wananchi wapate huduma Bora kama malengo ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan yanavyotaka.


Sima Bingileki

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano-Mafinga TC



Matangazo

  • NAFASI ZA MASOMO KWA SHULE YA CHIEF MKWAWA ENGLISH MEDIUM- HALMASHAURI YA MJI MAFINGA. NAFASI BADO ZIPO TUPIGIE January 29, 2024
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA YANAPATIKANA www.mafingatc.go.tz July 13, 2024
  • MJI MAFINGA YAVUKA LENGO UKUSANYAJI MAPATO YAKUSANYA ASILIMIA 113 KWA MWAKA WA FEDHA 2023/2024 August 14, 2024
  • MATOKEO YA DARASAM LA SABA 2024 YANAPATIKANA KWENYE TOVUTI YETU .www.mafingatc.go.tz October 30, 2024
  • View All

Habari mpya

  • TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI IMEENDESHA MAFUNZO YA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA KWA AWAMU YA PILI JIMBO LA MAFINGA MJINI

    May 02, 2025
  • MWENGE WA UHURU 2025 KATIKA HALMASHAURI YA MJI MAFINGA UMEPITIA JUMLA YA MIRADI 11 YA MAENDELEO YENYE THAMANI YA SHILINGI BILIONI 3.1

    May 01, 2025
  • MWENGE WA UHURU 2025 KATIKA HALMASHAURI YA MJI MAFINGA UMEPITIA JUMLA YA MIRADI 11 YA MAENDELEO YENYE THAMANI YA SHILINGI BILIONI 3.1

    May 01, 2025
  • MBUNGE WA MAFINGA MJI AKABIDHI MITUNGI YA GESI

    May 01, 2025
  • View All

Video

SENSA NI MAENDELEO
Video zaidi

Viungo Vya Haraka

  • Maelezo na Form Ya kiapo cha uadilifu
  • https://matokeo.necta.go.tz
  • Muongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Utumishi
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya wananchi

Watembeleaji kidunia

world map hits counter

Idadi ya watu wanao tembelea Tovuti

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana na sisi

    Mafinga Town.

    Postal Address: Po.Box 76 Mafinga

    Simu: +255 262 772 393

    Mobile: 026-2772393

    Barua Pepe: td@mafingatc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Copyright ©2018 Mafinga Town Council . All rights reserved.