• Malalamiko |
    • Wasiliana na sisi |
    • Maswali |
    • Baruapepe |
Mafinga Town Council
Mafinga Town Council

Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Mafinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Organization Structure
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Kilimo na umwagiliaji
      • Fedha
      • Mipango na Takwimu
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi
      • Afya
      • Ardhi na Maliasili
      • Community Development,Social welfare Gender and Youth
      • Water
      • Work
    • Vitengo
      • Community
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Manunuzi na Ugavi
      • Uchaguzi
      • Huduma za Kisheria
      • Biashara
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa madiwani
    • Kamati Za Kudumu Za Halmashauri
      • Fedha Na uongozi
      • Mipangomiji Namazingira
      • Uchumi, Fedha Na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao Vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana Na Mwenyekiti
  • Miradi Mbalimbali
    • Progressive projects
    • Itakayo Tekelezwa
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Machapisho ya Habari
    • Videos
    • Hotuba
    • Makitaba ya Picha
    • Taarifa
    • Matukio
  • Malalamiko

KIKAO KAZI CHA KUTATUA CHANGAMOTO ZA WAFANYABIASHARA

Posted on: November 12th, 2024


“Lengo la Utafiti huu unaofanywa na Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA)kwa kushirikiana na Taasisi nyingine za Serikali ni kubaini gharama za kufanya biashara nchini Tanzania na Changamoto zinazokabili wafanyabiashara huku Serikali ikilenga kuboresha Mfumo wa Kodi na kuwapunguzia wafanyabiashara gharama za Ufanyaji wa biashara Nchini.”

Kauli hiyo imetolewa Ndugu. Hassan Minga Afisa Mwandamizi wa TRA Makao Makuu alipokuwa akizungumza na Wafanyabiashara kutoka Wilaya ya Mufindi kwa lengo la kusikiliza changamoto wanazokutana nazo katika utekelezaji wa Biashara zao Nchini na Tanzania na kupokea maoni yao , wanatamani Serikali ifanye nini ili kuwajengea mazingira mazuri ya ulipaji wa Tozo mbalimbali za Serikali.

Akizungumza mmoja wa wafanyabiashara kutoka Halmashauri ya Mji Mafinga amesema Serikali ingeweka mfumo mzuri wa ukusanyaji wa Kodi, hakika Wafanyabiashara wangepunguziwa mzigo wa Utitiri wa Kodi na wangelipa kwa wakati.

“ Kodi ni nyingi mno zingepunguzwa na ikibidi ziwekwe sehemu moja , ili kupunguza utitiri, pia faini ziangalie muda wa mtu kuchelewa kulipa, tudaiwe kwa lugha rafiki, kuna mgongano Mkubwa wa Kisheria kuhusu baadhi ya kodi. Tunaomba Serikali haya tuliyoyasema yakalete mabadiriko kwa wafanyabiashara nchini”

Kikao cha Utafiti, kimefanyika katika Ukumbi wa Halmashauri ya Mji Mafinga na kimehudhuriwa na Wataalamu kutoka TRA,Ofisi ya Waziri Mkuu, TAMISEMI na Wizara ya viwanda na Biashara

Imeandaliwa na Kitengo Cha Mawasiliano Serikalini
Sima Mark Bingileki
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano- Mafinga TC



Wadau mbalimbali wakiwa katika kikao kazi cha kujadili jinsi ya kupunga changamoto kwa wafanyabiashara kikao hicho  kimefanyikia katika ukumbi wa Halmashauri ya Mji Mafinga.

Matangazo

  • NAFASI ZA MASOMO KWA SHULE YA CHIEF MKWAWA ENGLISH MEDIUM- HALMASHAURI YA MJI MAFINGA. NAFASI BADO ZIPO TUPIGIE January 29, 2024
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA YANAPATIKANA www.mafingatc.go.tz July 13, 2024
  • MJI MAFINGA YAVUKA LENGO UKUSANYAJI MAPATO YAKUSANYA ASILIMIA 113 KWA MWAKA WA FEDHA 2023/2024 August 14, 2024
  • MATOKEO YA DARASAM LA SABA 2024 YANAPATIKANA KWENYE TOVUTI YETU .www.mafingatc.go.tz October 30, 2024
  • View All

Habari mpya

  • VITUO VYOTE VYA KUTOLEA HUDUMA ZA AFYA VIFUNGWE MFUMO WA GoT-HOMIS

    June 20, 2025
  • HALMASHAURI YA MJI MAFINGA YAPATA HATI SAFI YA UKAGUZI KUTOKANA NA TAARIFA YA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI (CAG) KWA HESABU ZINAZOISHIA TAREHE 30 JUNI 2024

    June 19, 2025
  • HALMASHAURI YA NKASI YAITEMBELEA MAFINGA MJI KUBADILISHANA UZOEFU

    June 18, 2025
  • MWANZA NA DODOMA ZATINGA FAINALI SOKA WAVULANA UMITASHUMTA 2025

    June 17, 2025
  • View All

Video

SENSA NI MAENDELEO
Video zaidi

Viungo Vya Haraka

  • Maelezo na Form Ya kiapo cha uadilifu
  • https://matokeo.necta.go.tz
  • Muongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Utumishi
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya wananchi

Watembeleaji kidunia

world map hits counter

Idadi ya watu wanao tembelea Tovuti

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana na sisi

    Mafinga Town.

    Postal Address: Po.Box 76 Mafinga

    Simu: +255 262 772 393

    Mobile: 026-2772393

    Barua Pepe: td@mafingatc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Copyright ©2018 Mafinga Town Council . All rights reserved.