• Malalamiko |
    • Wasiliana na sisi |
    • Maswali |
    • Baruapepe |
Mafinga Town Council
Mafinga Town Council

Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Mafinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Organization Structure
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Kilimo na umwagiliaji
      • Fedha
      • Mipango na Takwimu
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi
      • Afya
      • Ardhi na Maliasili
      • Community Development,Social welfare Gender and Youth
      • Water
      • Work
    • Vitengo
      • Community
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Manunuzi na Ugavi
      • Uchaguzi
      • Huduma za Kisheria
      • Biashara
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa madiwani
    • Kamati Za Kudumu Za Halmashauri
      • Fedha Na uongozi
      • Mipangomiji Namazingira
      • Uchumi, Fedha Na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao Vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana Na Mwenyekiti
  • Miradi Mbalimbali
    • Progressive projects
    • Itakayo Tekelezwa
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Machapisho ya Habari
    • Videos
    • Hotuba
    • Makitaba ya Picha
    • Taarifa
    • Matukio
  • Malalamiko

MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA YAADHIMISHWA MAFINGA TC KWA KUTEMBELEA WATUMISHI WANAOFANYA KAZI KWENYE KATA.

Posted on: June 21st, 2022

WIKI YA UTUMISHI WA UMMA-MAFINGA TC

“Lengo la Wiki hii ya maadhimisho ya Utumishi wa Umma ni kukumbushana wajibu na haki za watumishi wa Umma katika kuwaletea wananchi maendeleo hasa katika sekta ya kutoa huduma bora kwa wananchi”

Hayo yamesemwa na Mkuu wa Idaia ya Utawala na Rasilimali watu Halmashauri ya Wilaya ya Mji Mafinga Ndugu, Fredrick Kayombo alipokuwa akizungumza na watumishi wa kada mbalimbali katika Kata ya Isalavanu katika maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma ambapo kwa mwaka huu maadhimisho hayo yamefanyika kuanzia tarehe 16/6-23/6.

Amesema watumishi wanapodai haki zao pia wanatakiwa kukumbuka kutimiza wajibu wao, Hivyo wadai haki na kutimiza wajibu kwani lazima watumishi wapimwe kila mwaka kuona kuwa je wanatimiza wajibu wao?

Kata ya Bumilayinga pia ilitembelewa na Idara ya Utumishi, Elimu Msingi na Elimu Sekondari ambapo watumishi hao walipongeza uongozi wa Mji Mafinga kuadhimisha wiki ya Utumishi wa Umma kwa kuamua kuwafuata watumishi walio pembezoni kusikiliza kero zao na, kuwakumbusha wajibu wao kama watumishi wa Umma.

Bwana Kayombo amesema kuwa watahakikisha kata zote zinafikiwa na elimu inatolewa kwa watumishi wote kuwakumbusha kuhusu wajibu wao katika kuwahudumia wananchi.

Ametaja sababu ambazo zinaweza kupelekea Mtumishi wa Umma kufukuzwa kazi ni pamoja na Wizi, Utoro kazini, Ulevi mahala pa kazi, Uzembe, Kuaibisha utumishi wa umma na Ukaidi /dharau.


IMEANDALIWA NA OFISI YA HABARI NA MAWASILIANO

Sima Bingileki

Afisa Habari Mkuu

Matangazo

  • NAFASI ZA MASOMO KWA SHULE YA CHIEF MKWAWA ENGLISH MEDIUM- HALMASHAURI YA MJI MAFINGA. NAFASI BADO ZIPO TUPIGIE January 29, 2024
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA YANAPATIKANA www.mafingatc.go.tz July 13, 2024
  • MJI MAFINGA YAVUKA LENGO UKUSANYAJI MAPATO YAKUSANYA ASILIMIA 113 KWA MWAKA WA FEDHA 2023/2024 August 14, 2024
  • MATOKEO YA DARASAM LA SABA 2024 YANAPATIKANA KWENYE TOVUTI YETU .www.mafingatc.go.tz October 30, 2024
  • View All

Habari mpya

  • TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI IMEENDESHA MAFUNZO YA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA KWA AWAMU YA PILI JIMBO LA MAFINGA MJINI

    May 02, 2025
  • MWENGE WA UHURU 2025 KATIKA HALMASHAURI YA MJI MAFINGA UMEPITIA JUMLA YA MIRADI 11 YA MAENDELEO YENYE THAMANI YA SHILINGI BILIONI 3.1

    May 01, 2025
  • MWENGE WA UHURU 2025 KATIKA HALMASHAURI YA MJI MAFINGA UMEPITIA JUMLA YA MIRADI 11 YA MAENDELEO YENYE THAMANI YA SHILINGI BILIONI 3.1

    May 01, 2025
  • MBUNGE WA MAFINGA MJI AKABIDHI MITUNGI YA GESI

    May 01, 2025
  • View All

Video

SENSA NI MAENDELEO
Video zaidi

Viungo Vya Haraka

  • Maelezo na Form Ya kiapo cha uadilifu
  • https://matokeo.necta.go.tz
  • Muongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Utumishi
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya wananchi

Watembeleaji kidunia

world map hits counter

Idadi ya watu wanao tembelea Tovuti

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana na sisi

    Mafinga Town.

    Postal Address: Po.Box 76 Mafinga

    Simu: +255 262 772 393

    Mobile: 026-2772393

    Barua Pepe: td@mafingatc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Copyright ©2018 Mafinga Town Council . All rights reserved.