• Malalamiko |
    • Wasiliana na sisi |
    • Maswali |
    • Baruapepe |
Mafinga Town Council
Mafinga Town Council

Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Mafinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Organization Structure
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Kilimo na umwagiliaji
      • Fedha
      • Mipango na Takwimu
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi
      • Afya
      • Ardhi na Maliasili
      • Community Development,Social welfare Gender and Youth
      • Water
      • Work
    • Vitengo
      • Community
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Manunuzi na Ugavi
      • Uchaguzi
      • Huduma za Kisheria
      • Biashara
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa madiwani
    • Kamati Za Kudumu Za Halmashauri
      • Fedha Na uongozi
      • Mipangomiji Namazingira
      • Uchumi, Fedha Na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao Vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana Na Mwenyekiti
  • Miradi Mbalimbali
    • Progressive projects
    • Itakayo Tekelezwa
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Machapisho ya Habari
    • Videos
    • Hotuba
    • Makitaba ya Picha
    • Taarifa
    • Matukio
  • Malalamiko

MAKARANI WAONGOZAJI WAPIGAKURA WAFUNDWA NA MSIMAMIZI WA UCHAGUZI JIMBO LA MAFINGA MJINI

Posted on: October 25th, 2025




“Dhamana mliyopewa ya Kusimamia Uchaguzi ni kubwa,nyeti na muhimu kwa Mustakabali wa Taifa letu, Mmeteuliwa kwa mujibu wa Sheria kwa kufuata katiba na mpo hapo kwa niaba ya Tume Huru ya Uchaguzi katika vituo 209 mtakavyopangiwa katika Kata 9”

Kauli hiyo imetolewa na Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Mafinga Mjini Bi. Dorothy Kobelo alipokuwa akifungua mafunzo ya Makarani Waongozaji Wapiga Kura yaliyofanyika katika Ukumbi wa Shule ya Sekondari Changarawe katika Halmashauri ya MJI Mafinga.

Amewataka Makarani waogozaji Wapiga Kura
Kuhakikisha hawawi vyanzo vya malalamiko kwa Vyama Vya Siasa na wanatumia lugha nzuri katika kutoa huduma hiyo na kuwapa kipaumbele watu wenye mahitaji Maalum siku ya kupiga kura.

Aidha Makarani Waogozaji Wapigakura wamekula kiapo cha kutunza Siri kiapo kilichoongozwa na Wakili Msomi , Mwanasheria Halmashauri ya MJI Mafinga Gaspar Kalinga.

Nae Afisa Uchaguzi Ndugu Benedict Kibiki amesema kuwa mafunzo ya Makarani Waongozaji 209 yanafanyika siku moja ambapo mafunzo kwa Wasimamizi na Wasimamizi wasaidizi yatafanyika kwa muda wa Siku 2.

Kwa Mujibu wa Ratiba ya Uchaguzi iliyotolewa na Tume Huru ya Uchaguzi, Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani utafanyika Tarehe 29 Oktoba, 2025 Siku ya Jumatano. Jimbo la Mafinga Mjini ni Moja kati ya Majimbo 272 yatakayo fanya uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani 2025.
“KURA YAKO HAKI YAKO JITOKEZE KUPIGA KURA”

Imetolewa na
Sima Mark Bingileki
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano-Mafinga TC


1d










Matangazo

  • NAFASI ZA MASOMO KWA SHULE YA CHIEF MKWAWA ENGLISH MEDIUM- HALMASHAURI YA MJI MAFINGA. NAFASI BADO ZIPO TUPIGIE January 29, 2024
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA YANAPATIKANA www.mafingatc.go.tz July 13, 2024
  • MJI MAFINGA YAVUKA LENGO UKUSANYAJI MAPATO YAKUSANYA ASILIMIA 113 KWA MWAKA WA FEDHA 2023/2024 August 14, 2024
  • MATOKEO YA DARASAM LA SABA 2024 YANAPATIKANA KWENYE TOVUTI YETU .www.mafingatc.go.tz October 30, 2024
  • View All

Habari mpya

  • WATUMISHI WA AJIRA MPYA HALMASHAURI YA MJI MAFINGA WAPEWA MAFUNZO YA MFUMO WA KIELEKTRONIKI-MUKI

    November 21, 2025
  • HALMASHAURI YA MJI MAFINGA IMEANZA MIKAKATI YA KUTOKOMEZA UDUMAVU

    November 20, 2025
  • KUFANYIKA KWA MTIHANI WA TAIFA WA KUMALIZA KIDATO CHA NNE TAREHE 17/11/2025 HADI TAREHE 5/12/2025

    November 17, 2025
  • TAMISEMI WAKUSANYA MAONI KWA NJIA YA DODOSO KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI YA MJI MAFINGA KUHUSU MPANGO MKAKATI WA MWAKA 2021-2026

    November 14, 2025
  • View All

Video

SENSA NI MAENDELEO
Video zaidi

Viungo Vya Haraka

  • Maelezo na Form Ya kiapo cha uadilifu
  • https://matokeo.necta.go.tz
  • Muongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Utumishi
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya wananchi

Watembeleaji kidunia

world map hits counter

Idadi ya watu wanao tembelea Tovuti

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana na sisi

    Mafinga Town.

    Postal Address: Po.Box 76 Mafinga

    Simu: +255 262 772 393

    Mobile: 026-2772393

    Barua Pepe: td@mafingatc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Copyright ©2018 Mafinga Town Council . All rights reserved.