Mbunge wa Jimbo la Mafinga Mheshimiwa Cosato Chumi amekabidhi gari la kubeba wagonjwa(AMBULANCE) lenye namba za usajili STM 7840 kwenye kituo cha Afya Ifingo ili kurahisisha usafiri kwa wagonjwa wenye dharura kutoka Ifingo kwenda sehemu nyingine kupata huduma zaidi au kutoka majumbani kwenda kituo cha Afya Ifingo katika kata ya Kinyanambo.
Mafinga Town.
Postal Address: Po.Box 76 Mafinga
Simu: +255 262 772 393
Mobile: 026-2772393
Barua Pepe: td@mafingatc.go.tz
Copyright ©2018 Mafinga Town Council . All rights reserved.