• Malalamiko |
    • Wasiliana na sisi |
    • Maswali |
    • Baruapepe |
Mafinga Town Council
Mafinga Town Council

Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Mafinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Organization Structure
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Kilimo na umwagiliaji
      • Fedha
      • Mipango na Takwimu
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi
      • Afya
      • Ardhi na Maliasili
      • Community Development,Social welfare Gender and Youth
      • Water
      • Work
    • Vitengo
      • Community
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Manunuzi na Ugavi
      • Uchaguzi
      • Huduma za Kisheria
      • Biashara
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa madiwani
    • Kamati Za Kudumu Za Halmashauri
      • Fedha Na uongozi
      • Mipangomiji Namazingira
      • Uchumi, Fedha Na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao Vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana Na Mwenyekiti
  • Miradi Mbalimbali
    • Progressive projects
    • Itakayo Tekelezwa
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Machapisho ya Habari
    • Videos
    • Hotuba
    • Makitaba ya Picha
    • Taarifa
    • Matukio
  • Malalamiko

MHE.MBUNGE LUTEVELE WA MAFINGA AWASHUKURU WANANCHI KWENYE MKUTANO WA KWANZA WA BARAZA LA HALMASHAURI

Posted on: December 5th, 2025

Kikao cha kwanza Cha Baraza la Halmashauri ya Mji Mafinga Kimefanyika na kuhudhuriwa na Mhe.Mbunge Dickson Lutevele,Jasmine N’gumbi Mbunge wa Vijana Viti Maalumu, Madiwani ,Wakuu wa Idara, Kamati ya Ulinzi na Usalama na Wageni waalikwa na kufanya Uchaguzi wa Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti, Uundaji wa Kamati za kudumu na kupitisha ratiba ya Vikao vya Halmashauri.



Mhe.Mbunge Lutevele amewashukuru Wananchi wa Mji wa Mafinga kwa kumchagua pia ameahidi kuonyesha Ushirikiano na amefungua milango ya Huduma wakati wote katika Ofisi yake.


“Katika Baraza tumepata Mwenyekiti Bora hivyo tujitahidi kufanya nae kazi kwa Ushirikiano lakini pia naomba niwape ahadi ya kuwa Mtumishi Mwema na nitashirikiana na nyinyi katika kuleta Maendeleo ya Jimbo letu la Mafinga”. amesema Mhe.Lutevele.


Akiongoza kikao Cha Baraza katika Ukumbi wa Halmashauri ya Mji Mafinga Katibu Tawala wa Wilaya ya Mufindi Ndugu Reuben Chongolo amewasihi Madiwani kufanya kazi kwa bidii, kusikiliza na kutatua Kero za Wananchi na kuwa kiungo kati ya Halmashauri na Wananchi ili kupata Amani na Taifa Bora.


“Mkatoe Huduma Bora kwa Wananchi kwa kusikiliza kero zao na kuzitatatua, kusimamia Miradi ya Maendeleo na Kukusanya Mapato ya Halmashauri katika Kata zenu na tunahitaji Mawazo yenu ili Kuboresha zaidi Ukusanyaji wa Mapato Bora utakaosaidia kupata Hadhi ya kuwa Manispaa”. amesema Ndugu Chongolo.


Naye Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Mafinga Bi; Fidelica Myovella amewapongeza Wabunge na Madiwani kwa kuchaguliwa na ameahidi kutoa Ushirikiano na Kutekeleza Ilani ya Chama Cha Mapinduzi kwa kufuata maelekezo kutoka Serikali kuu na kuyafanyia kazi ili kuleta Maendeleo ya Halmashauri ya Mji wa Mafinga.


Vedasto Faustine Malima

Afisa Habari

Matangazo

  • NAFASI ZA MASOMO KWA SHULE YA CHIEF MKWAWA ENGLISH MEDIUM- HALMASHAURI YA MJI MAFINGA. NAFASI BADO ZIPO TUPIGIE January 29, 2024
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA YANAPATIKANA www.mafingatc.go.tz July 13, 2024
  • MJI MAFINGA YAVUKA LENGO UKUSANYAJI MAPATO YAKUSANYA ASILIMIA 113 KWA MWAKA WA FEDHA 2023/2024 August 14, 2024
  • MATOKEO YA DARASAM LA SABA 2024 YANAPATIKANA KWENYE TOVUTI YETU .www.mafingatc.go.tz October 30, 2024
  • View All

Habari mpya

  • MKUU WA WILAYA YA MUFINDI APOKEA TAARIFA YA URASIMISHAJI ARDHI KATIKA HALMASHAURI YA MJI MAFINGA

    December 24, 2025
  • UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO KATIKA SEKTA YA ELIMU NA AFYA YAENDELEA KWA KISHINDO KATIKA HALMASHAURI YA MJI MAFINGA

    December 20, 2025
  • UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO KATIKA SEKTA YA ELIMU NA AFYA YAENDELEA KWA KISHINDO KATIKA HALMASHAURI YA MJI MAFINGA

    December 16, 2025
  • MAAFISA HABARI WAKIENDELEA KUTIMIZA MAJUKUMU YAO.

    December 18, 2025
  • View All

Video

SENSA NI MAENDELEO
Video zaidi

Viungo Vya Haraka

  • Maelezo na Form Ya kiapo cha uadilifu
  • https://matokeo.necta.go.tz
  • Muongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Utumishi
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya wananchi

Watembeleaji kidunia

world map hits counter

Idadi ya watu wanao tembelea Tovuti

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana na sisi

    Mafinga Town.

    Postal Address: Po.Box 76 Mafinga

    Simu: +255 262 772 393

    Mobile: 026-2772393

    Barua Pepe: td@mafingatc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Copyright ©2018 Mafinga Town Council . All rights reserved.

  • Situs Toto
  • Situs Toto Slot
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Toto Togel
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • AXL777
  • axl777
  • Situs Toto
  • YAMITOTO
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • DORA77
  • Situs Toto
  • AXL777
  • KOI200
  • Situs Toto
  • AERO88
  • AXL777
  • DORA77
  • DORA77
  • DORA77
  • DORA77
  • AXL777
  • AXL777
  • KOI200
  • KOI200
  • NABITOTO
  • NABITOTO
  • NABITOTO
  • NABITOTO
  • AERO88
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • DORA77
  • DORA77
  • AXL777
  • YAMITOTO
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • toto slot
  • koi200
  • ufabet
  • ufabet
  • ufabet
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • KOI200
  • Toto Slot Gacor
  • AERO88 Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • AERO88
  • Situs Toto
  • situs toto
  • slot gacor
  • situs toto
  • yamitoto
  • kudetabet98
  • kudetabet98
  • yamitoto
  • dora77
  • koi200
  • aero88
  • yamitoto
  • axl777
  • dora77
  • dora77
  • aero88
  • aero88
  • dora77
  • dora77
  • slot gacor
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • aero88
  • dora77
  • yamitoto
  • dora77
  • axl777