• Malalamiko |
    • Wasiliana na sisi |
    • Maswali |
    • Baruapepe |
Mafinga Town Council
Mafinga Town Council

Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Mafinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Organization Structure
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Kilimo na umwagiliaji
      • Fedha
      • Mipango na Takwimu
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi
      • Afya
      • Ardhi na Maliasili
      • Community Development,Social welfare Gender and Youth
      • Water
      • Work
    • Vitengo
      • Community
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Manunuzi na Ugavi
      • Uchaguzi
      • Huduma za Kisheria
      • Biashara
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa madiwani
    • Kamati Za Kudumu Za Halmashauri
      • Fedha Na uongozi
      • Mipangomiji Namazingira
      • Uchumi, Fedha Na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao Vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana Na Mwenyekiti
  • Miradi Mbalimbali
    • Progressive projects
    • Itakayo Tekelezwa
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Machapisho ya Habari
    • Videos
    • Hotuba
    • Makitaba ya Picha
    • Taarifa
    • Matukio
  • Malalamiko

MKUU WA WILAYA YA MUFINDI DKT LINDA SELEKWA AZINDUA ZOEZI LA UGAWAJI WA MIKOPO YA ASILIMIA KUMI HALMASHAURI YA MJI MAFINGA

Posted on: March 24th, 2025

Mkuu wa Wilaya ya Mufindi Mheshimiwa Dkt Linda Selekwa amezindua zoezi la ugawaji wa mikopo ya asilimia kumi kwa vikundi 62 vya wanawake ,vijana na watu wenye ulemavu katika Halmashauri ya Mji Mafinga ambapo jumla ya shilingi milioni 895,367,600 zimetolewa kwa vikundi hivyo.

Mheshimiwa Dkt Linda Selekwa amewataka wanufaika wa mikopo hiyo kuhakikisha wanatumia fedha hizo katika kukuza na kuendeleza biashara na miradi ambayo wamekuwa wakiifanya na kuachana kujaribu kufanya kitu kipya ambacho kitawapotezea fedha hizo kwa sababu fedha hizi ni za Serikali na zinatokana na mapato ambayo tunalipa kwenye Halmashauri hivyo tunawajibu wa kusimamia kwa uwangalifu mkubwa ili ziweze kutukwamua kiuchumi na kuhimarisha hali ya kipato chetu ili tuweze kuondokana na umaskini.


Aidha amewakumbusha wanufaika wa mikopo ya vikundi vya wanawake, vijana, na watu wenye ulemavu umuhimu wa kulipa mapato ya Halmashauri ili kuongeza wigo wa vikundi vingine kupata mikopo na pia kuhakikisha vikundi vinarejesha mikopo hiyo kwa muda ambao umepangwa ili kuondokona na usumbufu ambao utaweza kujitokeza wakati wa marejesho hayo.


Kwa upande mwengine Mheshimiwa Dkt Linda Selekwa amevisisitiza vikundi ambavyo vimepata mikopo hiyo vinakuwa imara na kusimamia na kutekeleza mambo ambayo wamepanga kuyafanya na pia kuepuka migogoro ambayo imekuwa inajitokeza katika vikundi hivyo na endapo ikitokea hivyo basi ofisi za Serikali ziko wazi kwaajili ya kushuglikia migogoro hiyo ya vikundi na pia amehaidi vikundi ambavyo vitafanya vizuri vitapitiwa na Mwenge wa Uhuru na kuangalia shughuli zao.


Michael Ngowi

Afisa Habari



Matangazo

  • NAFASI ZA MASOMO KWA SHULE YA CHIEF MKWAWA ENGLISH MEDIUM- HALMASHAURI YA MJI MAFINGA. NAFASI BADO ZIPO TUPIGIE January 29, 2024
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA YANAPATIKANA www.mafingatc.go.tz July 13, 2024
  • MJI MAFINGA YAVUKA LENGO UKUSANYAJI MAPATO YAKUSANYA ASILIMIA 113 KWA MWAKA WA FEDHA 2023/2024 August 14, 2024
  • MATOKEO YA DARASAM LA SABA 2024 YANAPATIKANA KWENYE TOVUTI YETU .www.mafingatc.go.tz October 30, 2024
  • View All

Habari mpya

  • TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI IMEENDESHA MAFUNZO YA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA KWA AWAMU YA PILI JIMBO LA MAFINGA MJINI

    May 02, 2025
  • MWENGE WA UHURU 2025 KATIKA HALMASHAURI YA MJI MAFINGA UMEPITIA JUMLA YA MIRADI 11 YA MAENDELEO YENYE THAMANI YA SHILINGI BILIONI 3.1

    May 01, 2025
  • MWENGE WA UHURU 2025 KATIKA HALMASHAURI YA MJI MAFINGA UMEPITIA JUMLA YA MIRADI 11 YA MAENDELEO YENYE THAMANI YA SHILINGI BILIONI 3.1

    May 01, 2025
  • MBUNGE WA MAFINGA MJI AKABIDHI MITUNGI YA GESI

    May 01, 2025
  • View All

Video

SENSA NI MAENDELEO
Video zaidi

Viungo Vya Haraka

  • Maelezo na Form Ya kiapo cha uadilifu
  • https://matokeo.necta.go.tz
  • Muongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Utumishi
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya wananchi

Watembeleaji kidunia

world map hits counter

Idadi ya watu wanao tembelea Tovuti

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana na sisi

    Mafinga Town.

    Postal Address: Po.Box 76 Mafinga

    Simu: +255 262 772 393

    Mobile: 026-2772393

    Barua Pepe: td@mafingatc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Copyright ©2018 Mafinga Town Council . All rights reserved.