• Malalamiko |
    • Wasiliana na sisi |
    • Maswali |
    • Baruapepe |
Mafinga Town Council
Mafinga Town Council

Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Mafinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Organization Structure
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Kilimo na umwagiliaji
      • Fedha
      • Mipango na Takwimu
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi
      • Afya
      • Ardhi na Maliasili
      • Community Development,Social welfare Gender and Youth
      • Water
      • Work
    • Vitengo
      • Community
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Manunuzi na Ugavi
      • Uchaguzi
      • Huduma za Kisheria
      • Biashara
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa madiwani
    • Kamati Za Kudumu Za Halmashauri
      • Fedha Na uongozi
      • Mipangomiji Namazingira
      • Uchumi, Fedha Na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao Vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana Na Mwenyekiti
  • Miradi Mbalimbali
    • Progressive projects
    • Itakayo Tekelezwa
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Machapisho ya Habari
    • Videos
    • Hotuba
    • Makitaba ya Picha
    • Taarifa
    • Matukio
  • Malalamiko

MWENGE WA UHURU 2023 WARIDHIA MIRADI YOTE 8 YA MAENDELEO YENYE THAMANI YA SHILINGI 38,949,011,547.00 HALMASHAURI YA MJI MAFINGA.

Posted on: May 8th, 2023

Akikabidhi Mwenge wa Uhuru 2023 Mkuu wa Wilaya ya Mufindi Mheshimiwa Linda Salekwa kwa Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mheshimiwa Halima Dendego baada ya kumaliza Mbio zake katika Halmashauri ya

Mji Mafinga Mheshimiwa Salekwa amesema Mwenge wa Uhuru umekimbizwa umbali wa Kilometa 54.7 katika Mji Mafinga na Miradi ya Maendeleo 8 yenye thamani ya shilingi 38,949,011,547.00 imeridhiwa na Mwenge wa Uhuru 2023.

Naye Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa Ndugu, Abdallah Shaib Kaim akitoa salamu zake na Kuaga Halmashauri ya Mji Mafinga amesema, Hakika Umoja katika Utendaji kazi, Matumizi sahihi ya pesa na uwazi katika nyaraka ndo umeifikisha Halmashauri ya Mji Mafinga Kuridhiwa Miradi yote 8 ya Maendeleo.

“ Lengo la Mbio hizi za Mwenge wa Uhuru ni kuchocheo Maendeleo, mshikamano na Uwazi katika Utendaji wa Kazi, kwa Mji wa Mafinga hili mmefanikiwa kwani kwa miradi yote tuliyopita hakika kila kitu kilikuwa wazi, kasoro ndogo ndogo haziwezi kukosekana ambapo tunawaelekeza nini mfanye ili kuweka sawa kasoro hizo ambazo hata hivyo haziathiri utekelezaji wa Miradi, hakika niwapongeze Mkuu wa Wilaya, Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi, Kamati ya Ulinzi na Usalama Wilaya pamoja na Waheshimiwa Madiwani, Mkurugenzi wa Mji Mafinga na Mheshimiwa Mbunge wa Mafinga Mjini Mheshimiwa Cosato Chumi kwa Usimamizi mzuri wa Miradi ya Maendeleo.” Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa.


Miradi 8 iliyoridhiwa na Mwenge wa Uhuru 2023 ni kama ifuatavyo:-


-KUWEKA JIWE LA MSINGI KIWANDA CHA LUSH CHANZO(WOOD INDUSTRIES)- KATA YA RUNGEMBA.


-KUZINDUA MRADI WA MAJI-KATA YA RUNGEMBA.


-KUKAGUA CHUO CHA FWITC( PANDAMITI KIBIASHARA)KATA YA KINYANAMBO.


-KUZINDUA MAABARA ZA SAYANSI KATIKA SHULE YA SEKONDARI UPENDO-KATA YA UPENDO.


-KUKAGUA UJENZI WA BARABARA- KATA YA BOMA.


-KUKAGUA UENDELEZAJI WA VIKUNDI VYA VIJANA(MAFINGA ARTS)KATA YA BOMA.


-KUWEKA JIWE LA MSINGIUJENZI WA KITUO CHA MAFUTA(NFS MAFINGA)-KATA YA BOMA.


-KUZINDUA JENGO LA KUTOA HUDUMA ZA DHARURA(EMD)HOSPITALI YA MJI MAFINGA KATA YA BOMA.


Mwenge wa Uhuru katika Halmashauri ya Mji Mafinga Umekesha katika Uwanja wa Mashujaa Mafinga Mjini na Umekabidhiwa Mkoa wa Morogoro na Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mheshimiwa Halima Dendego.


IMEANDALIWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI- MAFINGA MJI


Sima Bingileki

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini- Mafinga TC

Matangazo

  • LIPIA ADA YA LESENI YA USAFIRISHAJI( LATRA)MAFINGA FIKA OFISI YA BIASHARA AU TUPIGIE 0754-340059 February 02, 2023
  • MAENDELEO YA SHULE YA MCHEPUO WA KIINGEREZA CHIEF MKWAWA ACADEMY-HATUA YA RANGI March 20, 2023
  • ZIJUE RANGI MBALIMBALI ZA UPAUAJI WA MAJENGO KWA KILA KATA HALMASHAURI YA MJI MAFINGA-TUPIGIE 0767857907 March 20, 2023
  • KILA LA KHERI WANAFUNZI WA KIDATO CHA SITA KWENYE MTIHANI WENU WA TAIFA 2/5/2023 April 17, 2023
  • View All

Habari mpya

  • DC- MUFINDI AZUNGUMZA NA UMOJA WA WAVUNAJI SAOHILL (UWASA)

    June 07, 2023
  • KATIBU MKUU CHAMA CHA MAPINDUZI ATEMBELEA KITUO CHA AFYA IFINGO-MAFINGA TC

    May 29, 2023
  • HATUA ZA KUKATA LESENI KWA MFUMO MPYA WA TAUSI- MAFINGA TC

    May 18, 2023
  • HATUA ZA KUKATA LESENI KWA MFUMO MPYA WA TAUSI- MAFINGA TC

    May 18, 2023
  • View All

Video

SENSA NI MAENDELEO
Video zaidi

Viungo Vya Haraka

  • Maelezo na Form Ya kiapo cha uadilifu
  • https://matokeo.necta.go.tz
  • Muongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Utumishi
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya wananchi

Watembeleaji kidunia

world map hits counter

Idadi ya watu wanao tembelea Tovuti

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana na sisi

    Mafinga Town.

    Postal Address: Po.Box 76 Mafinga

    Simu: +255 262 772 393

    Mobile: 026-2772393

    Barua Pepe: td@mafingatc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Copyright ©2018 Mafinga Town Council . All rights reserved.