• Malalamiko |
    • Wasiliana na sisi |
    • Maswali |
    • Baruapepe |
Mafinga Town Council
Mafinga Town Council

Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Mafinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Organization Structure
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Kilimo na umwagiliaji
      • Fedha
      • Mipango na Takwimu
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi
      • Afya
      • Ardhi na Maliasili
      • Community Development,Social welfare Gender and Youth
      • Water
      • Work
    • Vitengo
      • Community
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Manunuzi na Ugavi
      • Uchaguzi
      • Huduma za Kisheria
      • Biashara
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa madiwani
    • Kamati Za Kudumu Za Halmashauri
      • Fedha Na uongozi
      • Mipangomiji Namazingira
      • Uchumi, Fedha Na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao Vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana Na Mwenyekiti
  • Miradi Mbalimbali
    • Progressive projects
    • Itakayo Tekelezwa
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Machapisho ya Habari
    • Videos
    • Hotuba
    • Makitaba ya Picha
    • Taarifa
    • Matukio
  • Malalamiko

TAKUKURU IMEZINDUA KAMPENI YA UIMARISHAJI KLABU ZA KUPINGA RUSHWA KWA NJIA YA UPANDAJI MITI KATIKA SHULE YA SEKONDALI SAOHILL

Posted on: January 27th, 2025

atika kuendeleza zoezi la Upandaji miti lililozinduliwa katika Halmashauri ya Mji Mafinga (Mti wa Mama) TAKUKURU imezindua Kampeni ya Uimarishaji Klabu za kupinga Rushwa kwa njia ya upandaji miti katika shule ya Sekondali Saohill.


Akizungumza Mkuu wa Wilaya ya Mufindi mhe, Dk Linda Salekwa ambae ni mgeni rasmi amewapongeza wanafunzi waliojiunga katika klabu ya kupinga Rushwa TAKUKURU na amewaomba wawe mabalozi wazuri kwa yale wanayojifunza watoe elimu iyo atawakiwa nyumbani kwao na pia amewataka wasome kwa bidii kwani dunia ya sasa inabadilika na hivyo ni muhimu kuwa na elimu ili uendane na mabadiliko hayo. Pia amewapongeza Halmashauri ya Mji Mafinga kwa kujiwekea lengo la kupanda miti milioni 1.5 kwa mwaka ata hivyo amewataka waongeze idadi kwa kadri siku zitakavyoenda.


Amewapongeza TAKUKURU kwa kuanzisha klabu mashuleni na amesema “Kupanda mbegu kwa watoto ni kitu kizuri ndugu zangu wa TAKUKURU i mbegu mnayopanda inakua niwapongeze sana kwa hichi mnachofanya” pia amewataka wanafunzi waliopo klabu ya rushwa wazingatie yale ambayo wanafundishwa. Pia ametumia nafasi hiyo kukata keki na kuwalisha wanafunzi waliopo katika klabu za TAKUKURU kama ishara ya uzinduzi zoezi lililoambatana na upandaji miti.


Kwa upande wake mkuu wa TAKUKURU wilaya ya Mufindi Bw. Abdullah Abdarahman amesema wamekuwa wakianzisha klabu na kampeni mbalimbali kuanzia shule za Msingi, Sekondali mpaka Vyuoni lengo ni kuwajengea uwezo na uelewa juu ya mapambano zidi ya Rushwa.


Hafla hii imeudhuliwa na wadau mbalimbali wa masuala ya upandaji miti na misitu wakiwemo TFS-SAOHILL , kamati ya ulinzi na usalama ya Wilaya ya Mufindi pamoja na Wazazi wa wanafunzi na Wananchi kwa ujumla.


Imeandaliwa na,

Anna Mdehwa,

Afisa Habari.



Wanafunzi wa shule ya Sekondari Sao Hill wakiwa katika zoezi la upandaji miti na kupewa mafunzo ya kuanzisha klabu za kupambana na rushwa.

Matangazo

  • NAFASI ZA MASOMO KWA SHULE YA CHIEF MKWAWA ENGLISH MEDIUM- HALMASHAURI YA MJI MAFINGA. NAFASI BADO ZIPO TUPIGIE January 29, 2024
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA YANAPATIKANA www.mafingatc.go.tz July 13, 2024
  • MJI MAFINGA YAVUKA LENGO UKUSANYAJI MAPATO YAKUSANYA ASILIMIA 113 KWA MWAKA WA FEDHA 2023/2024 August 14, 2024
  • MATOKEO YA DARASAM LA SABA 2024 YANAPATIKANA KWENYE TOVUTI YETU .www.mafingatc.go.tz October 30, 2024
  • View All

Habari mpya

  • KAMATI YA SIASA YA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) MKOA WA IRINGA YA FANYA ZIARA HALMASHAURI YA MJI MAFINGA

    May 13, 2025
  • WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AMESEMA TANZANIA NI MIONGONI MWA NCHI ZINAZOFANYA KAZI KWA KARIBU SANA NA SEKTA BINAFSI ILI KUKUZA UCHUMI NA KULETA MAENDELEO KWA WANANCHI WAKE

    May 13, 2025
  • MKURUGENZI WA MJI MAFINGA BI FEDELICA MYOVELLA ASHIRIKI MKUTANO WA WANANCHI KIJIJI CHA ITIMBO KATA YA RUNGEMBA

    May 12, 2025
  • TASAF III YACHANGIA KIASI CHA SHILINGI MILIONI 22 SHAMBA LA MITI EKARI 11 KIJIJI CHA ITIMBO KUPITIA WANUFAIKA WA TASAF

    May 12, 2025
  • View All

Video

SENSA NI MAENDELEO
Video zaidi

Viungo Vya Haraka

  • Maelezo na Form Ya kiapo cha uadilifu
  • https://matokeo.necta.go.tz
  • Muongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Utumishi
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya wananchi

Watembeleaji kidunia

world map hits counter

Idadi ya watu wanao tembelea Tovuti

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana na sisi

    Mafinga Town.

    Postal Address: Po.Box 76 Mafinga

    Simu: +255 262 772 393

    Mobile: 026-2772393

    Barua Pepe: td@mafingatc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Copyright ©2018 Mafinga Town Council . All rights reserved.