• Malalamiko |
    • Wasiliana na sisi |
    • Maswali |
    • Baruapepe |
Mafinga Town Council
Mafinga Town Council

Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Mafinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Organization Structure
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Kilimo na umwagiliaji
      • Fedha
      • Mipango na Takwimu
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi
      • Afya
      • Ardhi na Maliasili
      • Community Development,Social welfare Gender and Youth
      • Water
      • Work
    • Vitengo
      • Community
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Manunuzi na Ugavi
      • Uchaguzi
      • Huduma za Kisheria
      • Biashara
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa madiwani
    • Kamati Za Kudumu Za Halmashauri
      • Fedha Na uongozi
      • Mipangomiji Namazingira
      • Uchumi, Fedha Na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao Vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana Na Mwenyekiti
  • Miradi Mbalimbali
    • Progressive projects
    • Itakayo Tekelezwa
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Machapisho ya Habari
    • Videos
    • Hotuba
    • Makitaba ya Picha
    • Taarifa
    • Matukio
  • Malalamiko

TUNAFANYA UFUATILIAJI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA WALIOPANGIWA KATIKA SHULE ZETU ZA SEKONDARI HALMASHAURI YA MJI MAFINGA

Posted on: January 16th, 2025





    • “ Tunafanya Ufuatiliaji wa wanafunzi wa kidato cha kwanza waliopangiwa katika Shule zetu za Sekondari Halmashauri ya Mji Mafinga lazima tujue wanafunzi walipangiwa wangapi na wameripoti wanafunzi wangapi tangu shule kufunguliwa tarehe 13 Januari 2025 mpaka leo tarehe 16 Januari 2025 na kujua sababu inayofanya wengine wasiripoti kuanza masomo. Pia katika ufuatiliaji tunaangalia hali ya utoaji wa chakula kwa wanafunzi na kuona mwitikio wa wazazi katika kuchangia chakula “- Afisa Elimu Sekondari Mji Mafinga,Mwalimu Stephen Shemdoe.

      Leo tarehe 16 Januari, 2025 Afisa Elimu Sekondari Halmashauri ya Mji Mafinga Mwalimu Stephen Shemdoe Amefanya ufuatiliaji wa wanafunzi wa kidato cha kwanza kuripoti Shule walizopangiwa.
      Katikati Ufuatiliiaji huo Afisa Elimu ameweza kuzungumza na wazazi wanaowachelewesha wanafunzi kuripoti shuleni na kuwaambia umuhimu wa kuwahi shuleni pia kukagua stoo za chakula ili kuona kiwango kinachochangiwa na wazazi na kuhamasisha wazazi wasiochangia kuchangia

      Akiwa katika ufuatiliaji huo, Afisa Elimu ameweza kuzungumza na wazazi wa wanafunzi wa kidato cha Nne katika Shule ya Sekondari JJ Mungai na kuwataka kushirikiana na wazazi ili kuleta matokeo mazuri ya wanafunzi

      Katika Shule ya Sekondari Changarawe wanafunzi waliopokelewa wa kidato cha kwanza ni 134 ambapo wanafunzi wa kike ni 66 na wanafunzi wa kiume ni 68
      Shule ya Sekondari JJ MUNGAI wanafunzi waliopokelewa ni 97. Wanafunzi wa kike
      31 na wanafunzi wa kiume 33 jumla 64. Shule ya Sekondari Nyamalala. Jumla ya wanafunzi 109 wamepokelewa wavulana 53 wasichana

      Aidha katika ufuatiliaji huo Afisa Elimu Sekondari Mwalimu Stephen Shemdoe amekagua ujenzi wa Maabara katika Shule ya Sekondarii Nyamalala inayojengwa kwa mapato ya ndani na ujenzi wa bweni katika shule ya Sekondari JJ Mungai

      Imeandaliwa na Sima Bingikeki
      Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Mafinga TC


















Matangazo

  • NAFASI ZA MASOMO KWA SHULE YA CHIEF MKWAWA ENGLISH MEDIUM- HALMASHAURI YA MJI MAFINGA. NAFASI BADO ZIPO TUPIGIE January 29, 2024
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA YANAPATIKANA www.mafingatc.go.tz July 13, 2024
  • MJI MAFINGA YAVUKA LENGO UKUSANYAJI MAPATO YAKUSANYA ASILIMIA 113 KWA MWAKA WA FEDHA 2023/2024 August 14, 2024
  • MATOKEO YA DARASAM LA SABA 2024 YANAPATIKANA KWENYE TOVUTI YETU .www.mafingatc.go.tz October 30, 2024
  • View All

Habari mpya

  • VITUO VYOTE VYA KUTOLEA HUDUMA ZA AFYA VIFUNGWE MFUMO WA GoT-HOMIS

    June 20, 2025
  • HALMASHAURI YA MJI MAFINGA YAPATA HATI SAFI YA UKAGUZI KUTOKANA NA TAARIFA YA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI (CAG) KWA HESABU ZINAZOISHIA TAREHE 30 JUNI 2024

    June 19, 2025
  • HALMASHAURI YA NKASI YAITEMBELEA MAFINGA MJI KUBADILISHANA UZOEFU

    June 18, 2025
  • MWANZA NA DODOMA ZATINGA FAINALI SOKA WAVULANA UMITASHUMTA 2025

    June 17, 2025
  • View All

Video

SENSA NI MAENDELEO
Video zaidi

Viungo Vya Haraka

  • Maelezo na Form Ya kiapo cha uadilifu
  • https://matokeo.necta.go.tz
  • Muongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Utumishi
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya wananchi

Watembeleaji kidunia

world map hits counter

Idadi ya watu wanao tembelea Tovuti

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana na sisi

    Mafinga Town.

    Postal Address: Po.Box 76 Mafinga

    Simu: +255 262 772 393

    Mobile: 026-2772393

    Barua Pepe: td@mafingatc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Copyright ©2018 Mafinga Town Council . All rights reserved.