• Malalamiko |
    • Wasiliana na sisi |
    • Maswali |
    • Baruapepe |
Mafinga Town Council
Mafinga Town Council

Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Mafinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Organization Structure
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Kilimo na umwagiliaji
      • Fedha
      • Mipango na Takwimu
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi
      • Afya
      • Ardhi na Maliasili
      • Community Development,Social welfare Gender and Youth
      • Water
      • Work
    • Vitengo
      • Community
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Manunuzi na Ugavi
      • Uchaguzi
      • Huduma za Kisheria
      • Biashara
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa madiwani
    • Kamati Za Kudumu Za Halmashauri
      • Fedha Na uongozi
      • Mipangomiji Namazingira
      • Uchumi, Fedha Na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao Vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana Na Mwenyekiti
  • Miradi Mbalimbali
    • Progressive projects
    • Itakayo Tekelezwa
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Machapisho ya Habari
    • Videos
    • Hotuba
    • Makitaba ya Picha
    • Taarifa
    • Matukio
  • Malalamiko

WATUMISHI WA HALMASHAURI YA MJI MAFINGA WAHIMIZWA KUFANYA KAZI KWA USHIRIKIANO NA UZALENDO

Posted on: December 11th, 2024



Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Mafinga Bi, Fidelica Myovella ametoa rai kwa Watumishi kufanya kazi kwa bidii na ushirikiano aliposhiriki kikao cha Baraza la Wafanyakazi leo tarehe 11/12/2024.
“Unaposema Mtumishi mana yake unatumikia watu tutengeneze lugha nzuri kule tunapofanya kazi Watu waseme tunamtumishi tufanye kazi kwa ushirikiano,nidhamu,uzalendo na utii” ameeleza Myovella.

Aidha Bi, Fidelica Myovella amesisitiza tuendeleze ushirikiano na kufanya kazi kwa bidii ili tuzo tulizopata Mshindi wa Kwanza kanda ya pili yenye Mikoa saba katika mbio za Mwenge chini ya Mratibu Henry Kapela na mshindi wa 6 kati ya Halmashauri 184 katika kuhabalisha umma chini ya Mkuu wa kitengo Sima Bingileki na katika vitu mbalimbali amewapongeza Watumishi wote kwani kwa ushirikiano wa pamoja ndo umeleta vitu ivyo vyote na pia amesema tuzidi kusonga mbele zaidi.

Kwa upande wake Greyson Nyuna Katibu wa baraza la wafanyakazi amempongeza Bi, Fidelica Myovella kwa uchapakazi na uadilifu kwani amekuwa mfano mzuri wa kuigwa pia ameipongeza Halmashauri kwa ujumla kwa kusimamia vizuri zoezi la Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwani ulienda kwa amani na utulivu. Pia amewapongeza Watumishi kwa uchapakazi na ushirikiano ambao amekuwa akiuona mahali pa kazi.

Na,
Anna Mdehwa
Afisa Habari.



Watumishi wa Halmashauri ya Mji Mafinga wakiwa wakifatilia kwa umakini mkubwa kikao cha Baraza la wafanyakazi.






Matangazo

  • NAFASI ZA MASOMO KWA SHULE YA CHIEF MKWAWA ENGLISH MEDIUM- HALMASHAURI YA MJI MAFINGA. NAFASI BADO ZIPO TUPIGIE January 29, 2024
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA YANAPATIKANA www.mafingatc.go.tz July 13, 2024
  • MJI MAFINGA YAVUKA LENGO UKUSANYAJI MAPATO YAKUSANYA ASILIMIA 113 KWA MWAKA WA FEDHA 2023/2024 August 14, 2024
  • MATOKEO YA DARASAM LA SABA 2024 YANAPATIKANA KWENYE TOVUTI YETU .www.mafingatc.go.tz October 30, 2024
  • View All

Habari mpya

  • VITUO VYOTE VYA KUTOLEA HUDUMA ZA AFYA VIFUNGWE MFUMO WA GoT-HOMIS

    June 20, 2025
  • HALMASHAURI YA MJI MAFINGA YAPATA HATI SAFI YA UKAGUZI KUTOKANA NA TAARIFA YA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI (CAG) KWA HESABU ZINAZOISHIA TAREHE 30 JUNI 2024

    June 19, 2025
  • HALMASHAURI YA NKASI YAITEMBELEA MAFINGA MJI KUBADILISHANA UZOEFU

    June 18, 2025
  • MWANZA NA DODOMA ZATINGA FAINALI SOKA WAVULANA UMITASHUMTA 2025

    June 17, 2025
  • View All

Video

SENSA NI MAENDELEO
Video zaidi

Viungo Vya Haraka

  • Maelezo na Form Ya kiapo cha uadilifu
  • https://matokeo.necta.go.tz
  • Muongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Utumishi
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya wananchi

Watembeleaji kidunia

world map hits counter

Idadi ya watu wanao tembelea Tovuti

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana na sisi

    Mafinga Town.

    Postal Address: Po.Box 76 Mafinga

    Simu: +255 262 772 393

    Mobile: 026-2772393

    Barua Pepe: td@mafingatc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Copyright ©2018 Mafinga Town Council . All rights reserved.