• Malalamiko |
    • Wasiliana na sisi |
    • Maswali |
    • Baruapepe |
Mafinga Town Council
Mafinga Town Council

Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Mafinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Organization Structure
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Kilimo na umwagiliaji
      • Fedha
      • Mipango na Takwimu
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi
      • Afya
      • Ardhi na Maliasili
      • Community Development,Social welfare Gender and Youth
      • Water
      • Work
    • Vitengo
      • Community
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Manunuzi na Ugavi
      • Uchaguzi
      • Huduma za Kisheria
      • Biashara
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa madiwani
    • Kamati Za Kudumu Za Halmashauri
      • Fedha Na uongozi
      • Mipangomiji Namazingira
      • Uchumi, Fedha Na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao Vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana Na Mwenyekiti
  • Miradi Mbalimbali
    • Progressive projects
    • Itakayo Tekelezwa
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Machapisho ya Habari
    • Videos
    • Hotuba
    • Makitaba ya Picha
    • Taarifa
    • Matukio

WIK I YA UTUMISHI WA UMMA IMEHITIMISHWA KWA WATUMISHI WA MJI MAFINGA KUFANYA USAFI WA MAZINGIRA KATIKA HOSPITALI YA MJI MAFINGA.

Posted on: June 23rd, 2022

KILELE CHA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA KIMEHITIMISHWA KWA WATUMISHI WA MJI MAFINGA KUFANYA USAFI WA MAZINGIRA KATIKA HOSPITALI YA MJI MAFINGA NA KUKUMBUSHANA HAKI NA WAJIBU WA MTUMISHI WA UMMA.

 

“Ni wajibu wetu sisi watumishi wa Umma  kuwa Mabalozi wazuri katika utunzaji wa Mazingira, tukiona mtu anatupa taka hovyo hebu tumuambie kuwa sio sawa, taka ziwekwe sehemu sahihi na tuwe na utamaduni wa kuchukia taka, ukimaliza matumizi ya chochote ulichonacho kama mabaki hakikisha unakihifadhi sehemu iliyotengwa kuhifadhi taka”

Kauli hiyo Imetolewa na Bwana Charles Tuyi alipokuwa akimwakilisha Mkurugenzi wa Mji Mafinga Bi Happiness Laizer kwenye Kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma ambayo ilianza tarehe 16/6 na kuhitimishwa tarehe 23/6/2022.

Amesema Kitu chochote kikiwakipo sehemu ambapo hakitakiwi kuwa ni uchafu, tujitahidi kutunza mazingira, kwenye maeneo ya mikusanyiko ya watu kama mahospitalini, sokoni, stendi na wale wanaohusika na utunzaji wa mazingira basi wajitahidi kando kando ya barabara kuwe kusafi.

Akiwakumbusha watumishi wa Umma kuhusu wajibu wao Mkuu wa Idara ya Utawala na Rasilimali watu Bwana Fredrick Kayombo amesema kuwa Watumishi lazima watimize wajibu wao kwani. Wajibu na haki ni vitu vinavyoenda pamoja.

Masuala yote ya Elimu, Kupandishwa vyeo, kulipwa stahiki zote kwenda Likizo ni haki ya mtumishi, lakini unapodai haki zako hakikisha na wewe unatimiza wajibu wako, kwa kuwahi kazini, kufanya kazi kwa kujituma na ubunifu, kutoa huduma bora na haki kwa mwananchi yeyote unayemhudumia.

Idara ya Utumishi katika wiki hili la Utumishi wa Umma iliweza kuwatembelea watumishi wa Mafinga Mji wanaofanya kazi ngazi ya Kata katika sekta zote.

Baadhi Kata zilizotembelewa ni Bumlayinga, Saohill, Isalavanu na Rungemba.


Imeandaliwa na Ofisi ya Habari na Mawasiliano

Sima Bingileki

Afisa Habari Mkuu.

Matangazo

  • WANANCHI WOTE TUKUMBUKE USAFI WA MAZINGIRA KILA JUMAMOSI YA MWISHO WA MWEZI NI WAJIBU WETU. January 01, 2022
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI -13/6/2022 June 15, 2022
  • Siku ya Kusikiliza Malalamiko ya Wananchi April 05, 2018
  • View All

Habari mpya

  • WAHESHIMIWA MADIWANI MAFINGA MJI WAPITIA MPANGO KABAMBE WA HALMASHAURI YA MJI MAFINGA (2020-2040)

    June 24, 2022
  • WIK I YA UTUMISHI WA UMMA IMEHITIMISHWA KWA WATUMISHI WA MJI MAFINGA KUFANYA USAFI WA MAZINGIRA KATIKA HOSPITALI YA MJI MAFINGA.

    June 23, 2022
  • MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA YAADHIMISHWA MAFINGA TC KWA KUTEMBELEA WATUMISHI WANAOFANYA KAZI KWENYE KATA.

    June 21, 2022
  • VIPIGO MAJERAHA MENGI KWA WATOTO YANASABABISHWA NA WAKINA MAMA MAJUMBANI- HUO NI UKATILI WA KIJINSIA

    June 17, 2022
  • View All

Video

SENSA NI MAENDELEO
Video zaidi

Viungo Vya Haraka

  • Maelezo na Form Ya kiapo cha uadilifu
  • Muongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Utumishi
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya wananchi

Watembeleaji kidunia

world map hits counter

Idadi ya watu wanao tembelea Tovuti

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana na sisi

    Mafinga Town.

    Postal Address: Po.Box 76 Mafinga

    Simu: +255 262 772 393

    Mobile: 026-2772393

    Barua Pepe: td@mafingatc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Copyright ©2018 Mafinga Town Council . All rights reserved.