JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
OFISI YA RAIS
TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
HALMASHAURI YA MJI MAFINGA
(Barua zote zitumwe kwa Mkurugenzi wa Mji)
Simu : 026- 2772393 Ofisi ya Mkurugenzi wa Mji ,
Fax : 026- 2772070 S.L.P. 76,
Baruapepe:md.mafinga@iringa.go.t z
Tovuti:www.mafingatc.go.tz MAFINGA.
5/4/2018
TANGAZO
Kwa wananchi wa Halmashauri ya Mji wa Mafinga,
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Mafinga anawatangazia wananchi
wote wa Mji wa Mafinga kuwa kila siku jumatatu kuanzia saa nne
kamili asubuhi ni siku ya kusikiliza kero/malalamiko mbalimbali ya
wananchi.
Wananchi wote mnakaribishwa kutoa kero/malalamiko/maoni yenu.
SAADA MWARUKA
MKURUGENZI HALMASHAURI YA MJI MAFINGA
Mafinga Town.
Postal Address: Po.Box 76 Mafinga
Simu: +255 262 772 393
Mobile: 026-2772393
Barua Pepe: td@mafingatc.go.tz
Copyright ©2018 Mafinga Town Council . All rights reserved.