MKUU WA IDARA: PETER NGUSSA
ACTION PLAN AND CASH FLOW 2016-17.pdf POPULATION AGE AND SEX -2012.pdf MIRADI YA MAENDELEO MPANGO NEW.pdf
UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO
UJENZI UNAENDELEA WA SHULE YA SEKONDARI YA AMALI KATIKA KATA YA CHANGARAWE - GHARAMA ZA MRADI BILIONI 1.6 JUMLA YA MAJENGO 19 YANAJENGWA KATIKA SHULE HIYO.
UJENZI WA VYUMBA VITATU VYA MADARASA NA CHOO MATUNDU 6 YA WASICHANA KATIKA SHULE YA MSINGI KILIMANI KATIKA KATA YA ISALAVANU.
GHARAMA ZA VYUMBA VITATU V YA MADARASA NI MILIONI 75 NA GHARAMA ZA UJENZI WA MATUNDU YA VYOO NI MILIONI 13 JUMLA YA FEDHA POKELEWA NI MILIONI 88.
UJENZI UNAENDELEA KATIKA SHULE MPYA YA SEKONDARI YA AMALI KATIKA KATA YA CHANGARAWE DISEMBA 2024
UJENZI WA MAJENGO MBALIMBALI KATIKA SHULE YA SEKONDARI YA AMALI KATIKA KATA YA CHANGARAWE DISEMBA 2024
UJENZI WA SHULE MPYA YA SEKONDARI KATIKA KATA YA UPENDO UNAENDELEA DISEMBA 2024
SHULE YA SEKONDARI YA AMALI KATA YA CHANGARAWE BILIONI 1.9 UJENZI UNAENDELEA
Mafinga Town.
Postal Address: Po.Box 76 Mafinga
Simu: +255 262 772 393
Mobile: 026-2772393
Barua Pepe: td@mafingatc.go.tz
Copyright ©2018 Mafinga Town Council . All rights reserved.