• Malalamiko |
    • Wasiliana na sisi |
    • Maswali |
    • Baruapepe |
Mafinga Town Council
Mafinga Town Council

Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Mafinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Organization Structure
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Kilimo na umwagiliaji
      • Fedha
      • Mipango na Takwimu
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi
      • Afya
      • Ardhi na Maliasili
      • Community Development,Social welfare Gender and Youth
      • Water
      • Work
    • Vitengo
      • Community
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Manunuzi na Ugavi
      • Uchaguzi
      • Huduma za Kisheria
      • Biashara
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa madiwani
    • Kamati Za Kudumu Za Halmashauri
      • Fedha Na uongozi
      • Mipangomiji Namazingira
      • Uchumi, Fedha Na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao Vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana Na Mwenyekiti
  • Miradi Mbalimbali
    • Progressive projects
    • Itakayo Tekelezwa
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Machapisho ya Habari
    • Videos
    • Hotuba
    • Makitaba ya Picha
    • Taarifa
    • Matukio
  • Malalamiko

BENKI YA MUCOBA PLC KATIKA KUADHIMISHA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA WAMEMKABIDHI MKURUGENZI WA HALMASHAURI MJI MAFINGA MAPIPA 4 YA KUTUNZIA TAKA.

Posted on: October 9th, 2023

Benki ya Mucoba Mafinga  wamekabidhi mapipa 4 ya kutunzia taka kwa  Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Mafinga Ndugu, Charles Karibu Tuyi ambaye amemwakilisha  Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Mafinga katika kuadhimisha Wiki ya Huduma kwa Wateja ambapo  Wiki ya Huduma kwa Wateja Benki ya Mucoba Mafinga  imejikita katika suala la Mazingira katika kuwezesha kutoa huduma safi na salama kwa Wateja.


Akizungumza Meneja wa Benki ya Mucoba Mafinga  Ndugu , Phillipo Fanuel Raymond amesema uzinduzi wa Wiki ya Huduma kwa Wateja  Benki ya Mucoba Mafinga  imejikita katika kutoa semina ya usafi wa mazingira lengo kuu ni kuhakikisha Wateja wa Benki ya Mucoba Mafinga  wanaishi katika mazingira safi na salama tunaimani kwa kufanya hivo tutakuwa na Wateja wazuri.




Naye Mkuu wa Kitengo cha Masoko Benki ya Mucoba Mafinga  Amina Abdi Mikongomi amesema  Benki ya Mucoba Mafinga  katika kuadhimisha Wiki ya Huduma kwa Wateja wamekwenda mbali zaidi kwa kuweza  kutoa huduma ya uwekaji akiba na mikopo kwa Wateja ambapo Benki ya Mucoba Mafinga katika kuadhimisha Wiki ya Huduma kwa Wateja  kipaumbele chake  ni kwetu sisi jamii kwanza tupo tayari kukusikiliza.




Aidha Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Mafinga Ndugu, Charles Karibu Tuyi ambaye ni Mkuu wa Idara ya Mazingira  amewashukuru Benki ya Mucoba Mafinga  kwa kuweza kuwapatia Mapipa 4 ya kutunzia taka amesema Halmashauri ya Mji Mafinga imepokea  vitendea kazi hivo kwani kwa kufanya hivo wanatimiza mujibu wa sheria ya Mazingira namba 20 ya Mwaka 2004 ambayo inasema kila binadamu anayo haki ya kuishi mazingira safi na salama na walichokifanya ni kurudisha kwa jamii katika kuwaweka Wateja wao mahali safi na salama.


IMETOLEWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI MAFINGA TC


Christopher Mhina


Mwandishi wa Habari Mafinga TC


Matangazo

  • NAFASI ZA MASOMO KWA SHULE YA CHIEF MKWAWA ENGLISH MEDIUM- HALMASHAURI YA MJI MAFINGA. NAFASI BADO ZIPO TUPIGIE January 29, 2024
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA YANAPATIKANA www.mafingatc.go.tz July 13, 2024
  • MJI MAFINGA YAVUKA LENGO UKUSANYAJI MAPATO YAKUSANYA ASILIMIA 113 KWA MWAKA WA FEDHA 2023/2024 August 14, 2024
  • MATOKEO YA DARASAM LA SABA 2024 YANAPATIKANA KWENYE TOVUTI YETU .www.mafingatc.go.tz October 30, 2024
  • View All

Habari mpya

  • VITUO VYOTE VYA KUTOLEA HUDUMA ZA AFYA VIFUNGWE MFUMO WA GoT-HOMIS

    June 20, 2025
  • HALMASHAURI YA MJI MAFINGA YAPATA HATI SAFI YA UKAGUZI KUTOKANA NA TAARIFA YA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI (CAG) KWA HESABU ZINAZOISHIA TAREHE 30 JUNI 2024

    June 19, 2025
  • HALMASHAURI YA NKASI YAITEMBELEA MAFINGA MJI KUBADILISHANA UZOEFU

    June 18, 2025
  • MWANZA NA DODOMA ZATINGA FAINALI SOKA WAVULANA UMITASHUMTA 2025

    June 17, 2025
  • View All

Video

SENSA NI MAENDELEO
Video zaidi

Viungo Vya Haraka

  • Maelezo na Form Ya kiapo cha uadilifu
  • https://matokeo.necta.go.tz
  • Muongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Utumishi
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya wananchi

Watembeleaji kidunia

world map hits counter

Idadi ya watu wanao tembelea Tovuti

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana na sisi

    Mafinga Town.

    Postal Address: Po.Box 76 Mafinga

    Simu: +255 262 772 393

    Mobile: 026-2772393

    Barua Pepe: td@mafingatc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Copyright ©2018 Mafinga Town Council . All rights reserved.