Mkuu wa Wilaya ya Mufindi Mheshimiwa Dkt. Linda Salekwa amewataka wanachama wa Umoja wa Wavunaji Shamba la Miti Saohill(UWASA) kuhakikisha wanakamilisha usajili wa Umoja wao kisheria na kuandaa katiba inayotekelezeka ili kuweza kufanya uchaguzi wa haki na kuendesha umoja huo kisheria bila kubagua.
Katika Kikao hicho kamati ya Muda iliundwa baada ya wajumbe hao kuridhika kuwa ni kweli katiba ina mapungufu na umoja haujakamilisha usajili kisheria kama ambavyo iligundulika na Mkuu wa Wilaya ya Mufindi Mheshimiwa Dkt. Linda Salekwa.
Kamati ya muda yenye wajumbe kumi iliundwa na wanachama wenyewe ikiwa na mwenyekiti Method chan'ga na Katibu Fred Semtam
Mafinga Town.
Postal Address: Po.Box 76 Mafinga
Simu: +255 262 772 393
Mobile: 026-2772393
Barua Pepe: td@mafingatc.go.tz
Copyright ©2018 Mafinga Town Council . All rights reserved.