Mkuu wa Wilaya ya Mufindi Mheshimiwa Dkt. Linda Salekwa akiwa na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Mufindi, Wameshiriki mazishi ya Mama Mzazi wa Mheshimiwa Regnant Kivinge ambaye ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji Mafinga huko Ikweha Wilaya ya Mufindi.
Aidha Waheshimiwa Madiwani wa Mji Mafinga na Waheshimiwa Madiwani wa Halmashauri ya Mufindi wameshiriki msiba huo. Watumishi wa Halmashauri ya Mji Mafinga wameshiriki msiba huo wakiwa wameongozwa na Mkurugenzi Ndugu. Ayoub Kambi
APUMZIKE KWA AMANI
Mafinga Town.
Postal Address: Po.Box 76 Mafinga
Simu: +255 262 772 393
Mobile: 026-2772393
Barua Pepe: td@mafingatc.go.tz
Copyright ©2018 Mafinga Town Council . All rights reserved.