HALMASHAURI YA MJI MAFINGA Wilayani Mufindi yaibuka Mshindi wa Tatu katika Mashindano ya Usafi na Utunzaji wa Mazingira katika sekta ya Miji Kitaifa .
Zawadi hiyo imekabidhiwa kwa Hakmashauri na Waziri wa Afya Mheshimiwa Jenista Mhagama (Mb) na Kupokelewa na Mkuu wa Wilaya ya Mufindi Mheshimiwa Dkt. Linda Salekwa, Mheshimiwa Regnant Kivinge Mwenyekiti wa Halmashauri na Mkurugenzi Mji Mafinga Bi.Fidelica Myovella katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma Tanzania.
Mafinga Town.
Postal Address: Po.Box 76 Mafinga
Simu: +255 262 772 393
Mobile: 026-2772393
Barua Pepe: td@mafingatc.go.tz
Copyright ©2018 Mafinga Town Council . All rights reserved.