• Malalamiko |
    • Wasiliana na sisi |
    • Maswali |
    • Baruapepe |
Mafinga Town Council
Mafinga Town Council

Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Mafinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Organization Structure
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Kilimo na umwagiliaji
      • Fedha
      • Mipango na Takwimu
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi
      • Afya
      • Ardhi na Maliasili
      • Community Development,Social welfare Gender and Youth
      • Water
      • Work
    • Vitengo
      • Community
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Manunuzi na Ugavi
      • Uchaguzi
      • Huduma za Kisheria
      • Biashara
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa madiwani
    • Kamati Za Kudumu Za Halmashauri
      • Fedha Na uongozi
      • Mipangomiji Namazingira
      • Uchumi, Fedha Na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao Vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana Na Mwenyekiti
  • Miradi Mbalimbali
    • Progressive projects
    • Itakayo Tekelezwa
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Machapisho ya Habari
    • Videos
    • Hotuba
    • Makitaba ya Picha
    • Taarifa
    • Matukio
  • Malalamiko

HALMASHAURI YA MJI MAFINGA IMEPOKEA VIKOMBE 7 KWENYE MASHINDANO YA UMOJA WA MICHEZO NA TAALUMA KWA WANAFUNZI WA SHULE ZA SEKONDARI (UMISSETA)

Posted on: June 9th, 2023

Halmashauri ya Mji Mafinga imepokea vikombe 7 kwenye mashindano ya Umoja wa Michezo na Taaluma kwa wanafunzi wa Shule za Sekondari(UMISSETA)

ngazi ya Mkoa yaliyofanyika Shule ya Sekondari JJ Mungai mjini Mafinga kuanzia tarehe 5/6/2023-mpaka tarehe 6/6/2023 na kushirikisha Halmashauri zote 5 katika Mkoa wa Iringa.

Akizungumza Mkuu wa Kitengo cha Utamaduni, Sanaa na Michezo Halmashauri ya Mji Mafinga Ndg. Henry Kapella amesema kuwa vikombe ambavyo vimechukuliwa na Halmashauri ya Mji Mafinga ni katika michezo :-Ngoma 


Mshindi 1


Mpira wa wavu ke- Mshindi 1


Mpira wa Miguu me-Mshindi 2


Mpira wa mkono me- Mshindi 2


Usafi- Mshindi 1


Mpira wa pete- Mshindi wa 2


Mpira wa Meza me- Mshindi wa 2


Na zaidi Halmashauri imefanikiwa kuingiza wana michezo wanafunzi 15 Kati ya wanafunzi 80 wanaounda timu ya UMISSETA mkoa.


Akizungumza Mwenyekiti wa Wakuu wa Shule Mkoa wa Iringa(TAOSA) Ndugu, Albert Mkollo amesema Michezo inaweza kuchochochea Uchumi na mapato ya Eneo husika hivyo, ameomba walimu na wataalamu wa Halmashauri kuipa kipaumbele michezo kwani inaongeza mapato ya Halmashauri na kujenga afya ya akili ya mwanafunzi.


Afisa Elimu Sekondari Mwalimu Stephen Shemdoe amesema Halmashauri imeandaa mafunzo kwa walimu Hasa wa michezo ya basketball kwa mwakani na kutenga Bajeti ya michezo ya UMISSETA kupitia mapato ya ndani. Hivyo Halmashauri imeandaa mikakati hiyo kwa kuzingatia umuhimu wa michezo kwa Halmashauri ya Mji Mafinga.


Nae Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Mafinga ndugu Apolinary Seiya akipokea vikombe 7 vya ushindi ametoa Pongezi kwa walimu wa michezo, Afisa Elimu Sekondari , wakuu wa Shule kwa michango yao na chakula kwaajili ya wanafunzi walioko kambi.


Amesema imetengwa Bajeti kwa mwaka ujao kwaajili ya kuchangia michezo na miundombinu ya michezo.


Aidha amewaasa walimu wanaoeda Tabors kuhakikisha wanadumisha nidhamu na kucheza kwa bidii ili kurudi na ushindi.


IMEANDALIWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI - MAFINGA TC


Sima Bingileki 

Mkuu wa Kitengo Cha Mawasiliano Serikalini- Mafinga TC

Matangazo

  • NAFASI ZA MASOMO KWA SHULE YA CHIEF MKWAWA ENGLISH MEDIUM- HALMASHAURI YA MJI MAFINGA. NAFASI BADO ZIPO TUPIGIE January 29, 2024
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA YANAPATIKANA www.mafingatc.go.tz July 13, 2024
  • MJI MAFINGA YAVUKA LENGO UKUSANYAJI MAPATO YAKUSANYA ASILIMIA 113 KWA MWAKA WA FEDHA 2023/2024 August 14, 2024
  • MATOKEO YA DARASAM LA SABA 2024 YANAPATIKANA KWENYE TOVUTI YETU .www.mafingatc.go.tz October 30, 2024
  • View All

Habari mpya

  • VITUO VYOTE VYA KUTOLEA HUDUMA ZA AFYA VIFUNGWE MFUMO WA GoT-HOMIS

    June 20, 2025
  • HALMASHAURI YA MJI MAFINGA YAPATA HATI SAFI YA UKAGUZI KUTOKANA NA TAARIFA YA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI (CAG) KWA HESABU ZINAZOISHIA TAREHE 30 JUNI 2024

    June 19, 2025
  • HALMASHAURI YA NKASI YAITEMBELEA MAFINGA MJI KUBADILISHANA UZOEFU

    June 18, 2025
  • MWANZA NA DODOMA ZATINGA FAINALI SOKA WAVULANA UMITASHUMTA 2025

    June 17, 2025
  • View All

Video

SENSA NI MAENDELEO
Video zaidi

Viungo Vya Haraka

  • Maelezo na Form Ya kiapo cha uadilifu
  • https://matokeo.necta.go.tz
  • Muongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Utumishi
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya wananchi

Watembeleaji kidunia

world map hits counter

Idadi ya watu wanao tembelea Tovuti

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana na sisi

    Mafinga Town.

    Postal Address: Po.Box 76 Mafinga

    Simu: +255 262 772 393

    Mobile: 026-2772393

    Barua Pepe: td@mafingatc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Copyright ©2018 Mafinga Town Council . All rights reserved.