Halmashauri ya Mji Mafinga, Uongozi wa Mkoa wa Iringa, Mkuu wa Wilaya, Mheshimiwa Mbunge, Waheshimiwa Madiwani, Mkurugenzi wa Mji Mafinga pamoja na wananchi Tunakushukuru sana na kukupongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan kwa kutuletea Mradi mkubwa wa Maji wa Miji 28.
Mradi huu utakuwa suluhusho kamili la tatizo la maji katika Mji wa Mafinga. Utekelezaji wa Miradi hiyo ya Maji kwa Miji 28 ni asilimia 8 ya mikakati ya Serikali ya Usambazaji wa Huduma ya Maji safi na salama maeneo ya mijini na vijijini.
Na Sima Bingileki
Afisa Habari Mkuu-Mafinga Mji
Mafinga Town.
Postal Address: Po.Box 76 Mafinga
Simu: +255 262 772 393
Mobile: 026-2772393
Barua Pepe: td@mafingatc.go.tz
Copyright ©2018 Mafinga Town Council . All rights reserved.