• Malalamiko |
    • Wasiliana na sisi |
    • Maswali |
    • Baruapepe |
Mafinga Town Council
Mafinga Town Council

Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Mafinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Organization Structure
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Kilimo na umwagiliaji
      • Fedha
      • Mipango na Takwimu
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi
      • Afya
      • Ardhi na Maliasili
      • Community Development,Social welfare Gender and Youth
      • Water
      • Work
    • Vitengo
      • Community
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Manunuzi na Ugavi
      • Uchaguzi
      • Huduma za Kisheria
      • Biashara
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa madiwani
    • Kamati Za Kudumu Za Halmashauri
      • Fedha Na uongozi
      • Mipangomiji Namazingira
      • Uchumi, Fedha Na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao Vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana Na Mwenyekiti
  • Miradi Mbalimbali
    • Progressive projects
    • Itakayo Tekelezwa
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Machapisho ya Habari
    • Videos
    • Hotuba
    • Makitaba ya Picha
    • Taarifa
    • Matukio
  • Malalamiko

Halmashauri ya mji mafinga yapitisha rasimu ya bajeti ya maendeleo kiasi cha shilingi bilioni 25.9 kwa mwaka wa fedha 2018-2019

Posted on: February 27th, 2018


Halmashauri ya mji wa mafinga imepitisha rasimu hiyo ya bajeti ya maendeleo katika  kikao cha baraza la waheshimiwa madiwani kilichofanyika 26/2/2018 katika ukumbi wa halmashauli ambapo jumla ya fedha kiasi cha shilingi bilioni 25.9 zilipitishwa, akiwasilisha rasimu hiyo ya bajeti kwa wajumbe wa kikao hicho kwa niaba ya mkurugenzi  Afisa mipango wa halmashauri ndugu Andambike kyomo amesema halmashauri ya mji wa mafinga imejipanga katika kuboresha namna ya utoaji wa huduma bora kwa wananchi kwa kujikita katika vipaumbele vitano vya halmashauri ambavyo ni kuboresha makusanyo mapato ya ndani ili kujenga stendi ya kisasa eneo la kinyanambo na kuboresha mazingira ya uwekezaji na ujenzi wa viwanda,pili ni kuboreshakwa kutenga fedha ili kugharamia uendeshaji ujenzi na ukarabati wa vituo vya kutolea huduma za afya na elimu.

Afisa mipango ndugu Kyomo  alindelea kuwasilisha kipaumbele cha tatu kuwa ni kuboresha utendaji kazi wa watumishi wa umma kwa kutenga fedha kwa ajili ya ununuzi wa vifaa vya kufanyia kazi,ujenzi wa nyumba za watumishi na kutenga fedha za mishahara kwa kuzingatia ikama wakati kipaumbele cha nne ni kuboresha uratibu, usimamizi na utekelezaji wa shughuli mbalimbali  zinazotolewa na halmashauri kwa wananchi kwa kutenga fedha za kutosha kwa ajili ya ununuzi wa magari matatu (3) ya kuimarisha usimamizi na ufuatiaji huku kipaumbele cha tano ikiwa ni kuimarisha utawala bora kwa kufanya vikao vya kisheria vya halmashauri na kuimarisha mifumo ya  utendaji.

Lengo kuu la bajeti ni kutekeleza malengo ya dira ya Taifa ya maendeleleo 2025 na malengo ya milenia na mpango wa maendeleo endelevu (SDG’s) ambapo kwa pamoja yanaelekeza kupunguza umasikini iliokithiri na njaa,elimu ya msingi kwa wote,usawa wa kijinsia,kupunguza vifo vya watoto, kupunguza vifovya uzazi, utunzaji wa mazingira,kukabiliana na janga la UKIMWI na kujenga uchumi imara wenye kuhimili ushindani.

Mambo mengine muhimu yaliyozingatiwa katika uandaaji wa bajeti  ni pamoja na Hotuba ya Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dk. John Pombe Joseph Magufuli wakati akifungua rasmi Bunge jipya la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania,Dodoma tarehe 20 Novemba 2015 ambayo pamoja na mambo mengine inaelekeza kupunguza kero na kusogeza huduma kwa wananchi.

Matangazo

  • NAFASI ZA MASOMO KWA SHULE YA CHIEF MKWAWA ENGLISH MEDIUM- HALMASHAURI YA MJI MAFINGA. NAFASI BADO ZIPO TUPIGIE January 29, 2024
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA YANAPATIKANA www.mafingatc.go.tz July 13, 2024
  • MJI MAFINGA YAVUKA LENGO UKUSANYAJI MAPATO YAKUSANYA ASILIMIA 113 KWA MWAKA WA FEDHA 2023/2024 August 14, 2024
  • MATOKEO YA DARASAM LA SABA 2024 YANAPATIKANA KWENYE TOVUTI YETU .www.mafingatc.go.tz October 30, 2024
  • View All

Habari mpya

  • TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI IMEENDESHA MAFUNZO YA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA KWA AWAMU YA PILI JIMBO LA MAFINGA MJINI

    May 02, 2025
  • MWENGE WA UHURU 2025 KATIKA HALMASHAURI YA MJI MAFINGA UMEPITIA JUMLA YA MIRADI 11 YA MAENDELEO YENYE THAMANI YA SHILINGI BILIONI 3.1

    May 01, 2025
  • MWENGE WA UHURU 2025 KATIKA HALMASHAURI YA MJI MAFINGA UMEPITIA JUMLA YA MIRADI 11 YA MAENDELEO YENYE THAMANI YA SHILINGI BILIONI 3.1

    May 01, 2025
  • MBUNGE WA MAFINGA MJI AKABIDHI MITUNGI YA GESI

    May 01, 2025
  • View All

Video

SENSA NI MAENDELEO
Video zaidi

Viungo Vya Haraka

  • Maelezo na Form Ya kiapo cha uadilifu
  • https://matokeo.necta.go.tz
  • Muongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Utumishi
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya wananchi

Watembeleaji kidunia

world map hits counter

Idadi ya watu wanao tembelea Tovuti

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana na sisi

    Mafinga Town.

    Postal Address: Po.Box 76 Mafinga

    Simu: +255 262 772 393

    Mobile: 026-2772393

    Barua Pepe: td@mafingatc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Copyright ©2018 Mafinga Town Council . All rights reserved.