HATUA ZA KUKATA LESENI KWA MFUMO MPYA WA TAUSI
(mfumo huu unapatikana kwenye anwani ya tovuti)
Tausi.tamisemi.go.tz
1. USAJILI (REGISTRATION)
• Namba ya NIDA (NIN)
• Namba ya Simu iliyosajiliwa kwa namba ya NIDA
• E - Mail Address.
2. MAOMBI YA LESENI (APPLICATION FOR LICENSE)
A. MAOMBI BINAFSI
• TIN namba
• Mkataba wa pango / Hati ya eneo
• Tax clearance
B. KAMPUNI
• Tin namba
• Mkataba wa pango / Hati ya eneo
• Tax clearance
taker)
• Certificate of Incorporation
• Namba ya NIDA ya mwakilishi wa kampuni (Care taker)
KWA MAELEZO ZAIDI TUPIGIE:-0754-340-059
AU FIKA OFISI ZA BIASHARA, HALMASHAURI YA MJI MAFINGA - LUGANGA
IMETOLEWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI- MAFINGA TC
Mafinga Town.
Postal Address: Po.Box 76 Mafinga
Simu: +255 262 772 393
Mobile: 026-2772393
Barua Pepe: td@mafingatc.go.tz
Copyright ©2018 Mafinga Town Council . All rights reserved.