Baraza la Waheshimiwa Madiwani likiongozwa na Mheshimiwa Regnant Kivinge, Timu ya Menejimenti ya Halmashauri ya Mji Mafinga ikiongozwa na Mkurugenzi Bi, Fidelica Myovella wanawatakia watumishi wa Mji Mafinga, Wananchi wa Mji Mafinga na Wadau wote wa Maendeleo wa Halmashauri ya Mji Mafinga na Watanzania kwa Ujumla Heri ya mwaka mpya wa 2025.
Mafinga Town.
Postal Address: Po.Box 76 Mafinga
Simu: +255 262 772 393
Mobile: 026-2772393
Barua Pepe: td@mafingatc.go.tz
Copyright ©2018 Mafinga Town Council . All rights reserved.