• Malalamiko |
    • Wasiliana na sisi |
    • Maswali |
    • Baruapepe |
Mafinga Town Council
Mafinga Town Council

Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Mafinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Organization Structure
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Kilimo na umwagiliaji
      • Fedha
      • Mipango na Takwimu
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi
      • Afya
      • Ardhi na Maliasili
      • Community Development,Social welfare Gender and Youth
      • Water
      • Work
    • Vitengo
      • Community
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Manunuzi na Ugavi
      • Uchaguzi
      • Huduma za Kisheria
      • Biashara
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa madiwani
    • Kamati Za Kudumu Za Halmashauri
      • Fedha Na uongozi
      • Mipangomiji Namazingira
      • Uchumi, Fedha Na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao Vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana Na Mwenyekiti
  • Miradi Mbalimbali
    • Progressive projects
    • Itakayo Tekelezwa
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Machapisho ya Habari
    • Videos
    • Hotuba
    • Makitaba ya Picha
    • Taarifa
    • Matukio
  • Malalamiko

KAMATI YA MIPANGO MIJI NA MAZINGIRA IMEFANYA ZIARA YA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO.

Posted on: July 28th, 2023

Kamati ya Mipango Miji na Mazingira ikiongozwa na Mwenyekiti wa Kamati Mheshimiwa Michael Msite imefanya ziara ya kukagua Miradi mbalimbali ya maendeleo  Halmashauri ya Mji Mafinga.


Miradi iliyotembelewa ni Ujenzi wa Shule mpya ya msingi Muungano yenye Mkondo mmoja, Ujenzi wa machinjio ya kuku na Ujenzi   wa vyoo soko jipya mtaa wa pipeline Kata ya Wambi.


Akizungumza Afisa Mifugo wa  Halmashauri ya Mji Mafinga Dkt Aldonis Ulimboka amesema ujenzi wa machinjio  ya kuku unatekelezwa kwa fedha za mapato ya ndani wenye thamani ya Tsh 38,327,600.00  Mradi huu utatoa huduma ya uchinjaji wa kuku ndani ya Halmashauri ya Mji Mafinga.


 Lengo la Ujenzi wa machinjio ya kuku ni kuboresha usalama wa nyama, kuboresha afya ya mlaji , kuongeza ajira, kuboresha usafi wa nyama ili kudhibiti mgonjwa ya mlipuko na ujenzi   umefikia 85 % ya ukamilishaji wake .


Naye Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Mwongozo Ndugu Cesilia Mbedule akitoa taarifa amesema ujenzi  wa Shule mpya ya msingi Muungano unatekelezwa  kupitia fedha za BOOST wenye thamani ya Tsh 347,500,000 ambazo ni fedha kutoka Serikali Kuu na  wamefanikiwa kujenga jengo la utawala, vyumba viwili vya madarasa ya awali na matundu sita ya vyoo, vyumba saba vya madarasa ya elimu ya msingi, matundu kumi ya vyoo pia kichomea taka.


Faida za ujenzi wa shule mpya utasaidia kupunguza msongamano wa wanafunzi katika shule mama ya mwongozo ujenzi umefikia 90% ya utekelezaji wake ambapo kazi ya ukamilishaji bado unaendelea.


Akizungumza Afisa Biashara wa Halmashauri ya Mji Mafinga Ndugu Evance Mtikile kuhusu ujenzi wa vyoo soko jipya  mtaa wa pipeline  kata ya Wambi amesema Mradi unatekelezwa na fedha kutoka  mapato ya ndani  ambapo ujenzi  umefikia 10 % ya utekelezaji wake na  kazi ya ukamilishaji unaendelea.

 

 

Ziara  imehudhuriwa na   Wajumbe ambao ni Waheshimiwa Madiwani wa Kamati hiyo , Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Mafinga Ndugu Charles Tuyi na Wataalamu.


IMETOLEWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI


Christopher Mhina


Mwandishi wa Habari Mafinga TC

Matangazo

  • NAFASI ZA MASOMO KWA SHULE YA CHIEF MKWAWA ENGLISH MEDIUM- HALMASHAURI YA MJI MAFINGA. NAFASI BADO ZIPO TUPIGIE January 29, 2024
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA YANAPATIKANA www.mafingatc.go.tz July 13, 2024
  • MJI MAFINGA YAVUKA LENGO UKUSANYAJI MAPATO YAKUSANYA ASILIMIA 113 KWA MWAKA WA FEDHA 2023/2024 August 14, 2024
  • MATOKEO YA DARASAM LA SABA 2024 YANAPATIKANA KWENYE TOVUTI YETU .www.mafingatc.go.tz October 30, 2024
  • View All

Habari mpya

  • VITUO VYOTE VYA KUTOLEA HUDUMA ZA AFYA VIFUNGWE MFUMO WA GoT-HOMIS

    June 20, 2025
  • HALMASHAURI YA MJI MAFINGA YAPATA HATI SAFI YA UKAGUZI KUTOKANA NA TAARIFA YA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI (CAG) KWA HESABU ZINAZOISHIA TAREHE 30 JUNI 2024

    June 19, 2025
  • HALMASHAURI YA NKASI YAITEMBELEA MAFINGA MJI KUBADILISHANA UZOEFU

    June 18, 2025
  • MWANZA NA DODOMA ZATINGA FAINALI SOKA WAVULANA UMITASHUMTA 2025

    June 17, 2025
  • View All

Video

SENSA NI MAENDELEO
Video zaidi

Viungo Vya Haraka

  • Maelezo na Form Ya kiapo cha uadilifu
  • https://matokeo.necta.go.tz
  • Muongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Utumishi
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya wananchi

Watembeleaji kidunia

world map hits counter

Idadi ya watu wanao tembelea Tovuti

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana na sisi

    Mafinga Town.

    Postal Address: Po.Box 76 Mafinga

    Simu: +255 262 772 393

    Mobile: 026-2772393

    Barua Pepe: td@mafingatc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Copyright ©2018 Mafinga Town Council . All rights reserved.