• Malalamiko |
    • Wasiliana na sisi |
    • Maswali |
    • Baruapepe |
Mafinga Town Council
Mafinga Town Council

Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Mafinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Organization Structure
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Kilimo na umwagiliaji
      • Fedha
      • Mipango na Takwimu
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi
      • Afya
      • Ardhi na Maliasili
      • Community Development,Social welfare Gender and Youth
      • Water
      • Work
    • Vitengo
      • Community
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Manunuzi na Ugavi
      • Uchaguzi
      • Huduma za Kisheria
      • Biashara
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa madiwani
    • Kamati Za Kudumu Za Halmashauri
      • Fedha Na uongozi
      • Mipangomiji Namazingira
      • Uchumi, Fedha Na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao Vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana Na Mwenyekiti
  • Miradi Mbalimbali
    • Progressive projects
    • Itakayo Tekelezwa
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Machapisho ya Habari
    • Videos
    • Hotuba
    • Makitaba ya Picha
    • Taarifa
    • Matukio
  • Malalamiko

KAMATI YA SIASA YA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) WILAYA YA MUFINDI IMEFANYA ZIARA YA SIKU YA PILI YA KUKAGUA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO KATIKA HALMASHAURI YA MJI MAFINGA.

Posted on: November 8th, 2023

“ Kazi yetu Kamati ya Siasa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Mufindi ni kuisimamia Serikali kuhakikisha Ilani ya Chama Inatekelezwa. Utekelezaji wa Ilani ndo huu  wa Miradi yenye Ubora mnayoitekeleza, Hakika Mji Mafinga thamani ya Miradi tuliyoitembelea inaendana fedha iliyotumika”


Kauli hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Mufindi Mheshimiwa George Kavenuke akiwa ameongozana na Kamati ya Siasa ya Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Mufindi kwenye ziara ya Siku ya pili ya kukagua Utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo katika Halmashauri ya Mji Mafinga. 


MIRADI ILIYOTEMBELEWA:-
- Ujenzi wa Madarasa 5 na matundu 3 ya vyoo(BOOST) ambapo  Shule ilipokea kiasi cha shilingi Milioni 131 kutoka Serikali Kuu.
- Ujenzi wa Shule mpya ya Msingi Muungano ambapo Shule ilipokea shilingi Milioni 347
- Ujenzi wa Shule mpya ya Sekondari Ndolezi ambapo Shule ilipokea kiasi cha Shilingi Milioni 583 kutoka Serikali Kuu( SEQUIP)

-Ujenzi wa Madarasa na matundu ya vyoo katika Shule ya Msingi Kinyanambo
-Ujenzi wa Madarasa 6 na matundu ya Vyoo katika Shule ya Msingi Gangilonga. Miradi yote imekamilika.

Kutoka Ofisi ya Mkuu wa Wilaya, Katibu Tawala Wilaya ya Mufindi Ndugu Frank Sichalwe amesema jukumu letu watumishi ni kuhakikisha tunatekeleza Miradi ya Maendeleo kwa ufanisi na kuisemea serikali kwa kazi zinazofanyika kwa vitendo.

Kwa niamba ya wataalamu wa Halmashauri ya Mji Mafinga Mkurugenzi Ndugu Ayoub Kambi ameahidi kuendelea kutekeleza Miradi ili wananchi wa Mji Mafinga wapate huduma Bora na stahili.
Ziara Pia imehudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Chama na Serikali kutoka ngazi za Kata na Mitaa

Sima Bingileki
Mkuu wa Kitengo Cha Mawasiliano Serikalini Mafinga Tc



Matangazo

  • NAFASI ZA MASOMO KWA SHULE YA CHIEF MKWAWA ENGLISH MEDIUM- HALMASHAURI YA MJI MAFINGA. NAFASI BADO ZIPO TUPIGIE January 29, 2024
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA YANAPATIKANA www.mafingatc.go.tz July 13, 2024
  • MJI MAFINGA YAVUKA LENGO UKUSANYAJI MAPATO YAKUSANYA ASILIMIA 113 KWA MWAKA WA FEDHA 2023/2024 August 14, 2024
  • MATOKEO YA DARASAM LA SABA 2024 YANAPATIKANA KWENYE TOVUTI YETU .www.mafingatc.go.tz October 30, 2024
  • View All

Habari mpya

  • TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI IMEENDESHA MAFUNZO YA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA KWA AWAMU YA PILI JIMBO LA MAFINGA MJINI

    May 02, 2025
  • MWENGE WA UHURU 2025 KATIKA HALMASHAURI YA MJI MAFINGA UMEPITIA JUMLA YA MIRADI 11 YA MAENDELEO YENYE THAMANI YA SHILINGI BILIONI 3.1

    May 01, 2025
  • MWENGE WA UHURU 2025 KATIKA HALMASHAURI YA MJI MAFINGA UMEPITIA JUMLA YA MIRADI 11 YA MAENDELEO YENYE THAMANI YA SHILINGI BILIONI 3.1

    May 01, 2025
  • MBUNGE WA MAFINGA MJI AKABIDHI MITUNGI YA GESI

    May 01, 2025
  • View All

Video

SENSA NI MAENDELEO
Video zaidi

Viungo Vya Haraka

  • Maelezo na Form Ya kiapo cha uadilifu
  • https://matokeo.necta.go.tz
  • Muongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Utumishi
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya wananchi

Watembeleaji kidunia

world map hits counter

Idadi ya watu wanao tembelea Tovuti

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana na sisi

    Mafinga Town.

    Postal Address: Po.Box 76 Mafinga

    Simu: +255 262 772 393

    Mobile: 026-2772393

    Barua Pepe: td@mafingatc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Copyright ©2018 Mafinga Town Council . All rights reserved.