• Malalamiko |
    • Wasiliana na sisi |
    • Maswali |
    • Baruapepe |
Mafinga Town Council
Mafinga Town Council

Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Mafinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Organization Structure
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Kilimo na umwagiliaji
      • Fedha
      • Mipango na Takwimu
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi
      • Afya
      • Ardhi na Maliasili
      • Community Development,Social welfare Gender and Youth
      • Water
      • Work
    • Vitengo
      • Community
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Manunuzi na Ugavi
      • Uchaguzi
      • Huduma za Kisheria
      • Biashara
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa madiwani
    • Kamati Za Kudumu Za Halmashauri
      • Fedha Na uongozi
      • Mipangomiji Namazingira
      • Uchumi, Fedha Na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao Vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana Na Mwenyekiti
  • Miradi Mbalimbali
    • Progressive projects
    • Itakayo Tekelezwa
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Machapisho ya Habari
    • Videos
    • Hotuba
    • Makitaba ya Picha
    • Taarifa
    • Matukio
  • Malalamiko

KAMATI YA SIASA YA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM)WILAYA YA MUFINDI YAPONGEZA MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI MPYA YA UFUNDI( AMALI)( BILIONI1.6)MIUNDOMBINU YA HOSPITALI MJI MAFINGA ( MILIONI 900) NA UJENZI WA SHULE MPYA YA SEKONDARI KATA YA UPENDO(MI

Posted on: December 17th, 2024

KAMATI YA SIASA YA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM)WILAYA YA MUFINDI YAPONGEZA MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI MPYA YA UFUNDI( AMALI)( BILIONI1.6)MIUNDOMBINU YA HOSPITALI MJI MAFINGA ( MILIONI 900) NA UJENZI WA SHULE MPYA YA SEKONDARI KATA YA UPENDO(MILIONI 583.1) KATIKA HALMASHAURI YA MJI MAFINGA.


“ Hakika mmeitendea haki Serikali, majengo haya 19 yana ubora thamani ya fedha iliyotumika inaonekana na tumesikia mnafanyakazi mpaka usiku ili kuhakikisha Shule hii ya Amali na Shule Mpya katika Kata ya Upendo zinakamilika kwa wakati na mwakani watoto waanze masomo katika Shule hii, tunawapongeza Mkurugenzi na Wataalamu kwa Usimamizi”


Moja ya kazi ya Chama cha Mapinduzi ni kuisimamia Serikali ili kutekeleza majukumu yake na kutoa huduma bora kwa jamii ikiwa ni pamoja na kusimamia utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo.


“ Fedha iliyoletwa kwenye Shule hii ya Amali ni Bilioni 1.6 kutoka Serikali Kuu( SEQUIP) na ni Shule ya Ufundi ambayo itazalisha mafundi wengi ambao wataleta maendeleo makubwa katika Sekta ya Viwanda.”


Kauli hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Mufindi Mheshimiwa George Kavenuke alipokuwa akiongoza Kamati ya Siasa ya Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Mufindi kufanya ziara ya kukagua Miradi ya Maendeleo


Ziara ya Kamati ya Siasa Wilaya ya Mufindi pia imetembelea Ujenzi wa Shule ya Sekondari Katika Kata ya Upendo inayojengwa na fedha kutoka Serikali Kuu( SEQUIP) Milioni 583,180,080 na Ukamilishaji wa Majengo 3 katika Hospitali ya Mji Mafinga jengo la ICU, Jengo la Mama na Mtoto na Jengo la kufulia kwa gharama ya shilingi milioni 900.


Naye Katibu Tawala Wilaya ya Mufindi Ndugu Reuben Chongolo kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya ya Mufindi amehudhuria ziara hiyo akiwa na Kamati ya Ulinzi ya Wilaya na Kaimu Mkurugenzi Mwalimu Stephen Shemdoe akiongoza Wataalamu wa Halmashauri ya Mji Mafinga kupokea Maagizo na Ushauri wa Kamati hiyo.


Sima Mark Bingileki

Afisa Habari Mkuu




Wajumbe wa Kamati ya Siasa Wilaya ya Mufindi wakiwa katika Miradi mbalimbali ambayo waimeitembelea leo hii.

Matangazo

  • NAFASI ZA MASOMO KWA SHULE YA CHIEF MKWAWA ENGLISH MEDIUM- HALMASHAURI YA MJI MAFINGA. NAFASI BADO ZIPO TUPIGIE January 29, 2024
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA YANAPATIKANA www.mafingatc.go.tz July 13, 2024
  • MJI MAFINGA YAVUKA LENGO UKUSANYAJI MAPATO YAKUSANYA ASILIMIA 113 KWA MWAKA WA FEDHA 2023/2024 August 14, 2024
  • MATOKEO YA DARASAM LA SABA 2024 YANAPATIKANA KWENYE TOVUTI YETU .www.mafingatc.go.tz October 30, 2024
  • View All

Habari mpya

  • TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI IMEENDESHA MAFUNZO YA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA KWA AWAMU YA PILI JIMBO LA MAFINGA MJINI

    May 02, 2025
  • MWENGE WA UHURU 2025 KATIKA HALMASHAURI YA MJI MAFINGA UMEPITIA JUMLA YA MIRADI 11 YA MAENDELEO YENYE THAMANI YA SHILINGI BILIONI 3.1

    May 01, 2025
  • MWENGE WA UHURU 2025 KATIKA HALMASHAURI YA MJI MAFINGA UMEPITIA JUMLA YA MIRADI 11 YA MAENDELEO YENYE THAMANI YA SHILINGI BILIONI 3.1

    May 01, 2025
  • MBUNGE WA MAFINGA MJI AKABIDHI MITUNGI YA GESI

    May 01, 2025
  • View All

Video

SENSA NI MAENDELEO
Video zaidi

Viungo Vya Haraka

  • Maelezo na Form Ya kiapo cha uadilifu
  • https://matokeo.necta.go.tz
  • Muongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Utumishi
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya wananchi

Watembeleaji kidunia

world map hits counter

Idadi ya watu wanao tembelea Tovuti

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana na sisi

    Mafinga Town.

    Postal Address: Po.Box 76 Mafinga

    Simu: +255 262 772 393

    Mobile: 026-2772393

    Barua Pepe: td@mafingatc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Copyright ©2018 Mafinga Town Council . All rights reserved.