• Malalamiko |
    • Wasiliana na sisi |
    • Maswali |
    • Baruapepe |
Mafinga Town Council
Mafinga Town Council

Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Mafinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Organization Structure
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Kilimo na umwagiliaji
      • Fedha
      • Mipango na Takwimu
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi
      • Afya
      • Ardhi na Maliasili
      • Community Development,Social welfare Gender and Youth
      • Water
      • Work
    • Vitengo
      • Community
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Manunuzi na Ugavi
      • Uchaguzi
      • Huduma za Kisheria
      • Biashara
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa madiwani
    • Kamati Za Kudumu Za Halmashauri
      • Fedha Na uongozi
      • Mipangomiji Namazingira
      • Uchumi, Fedha Na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao Vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana Na Mwenyekiti
  • Miradi Mbalimbali
    • Progressive projects
    • Itakayo Tekelezwa
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Machapisho ya Habari
    • Videos
    • Hotuba
    • Makitaba ya Picha
    • Taarifa
    • Matukio
  • Malalamiko

Kamati ya siasa yaridhishwa na maendeleo ya miradi inayotekelezwa na halmashauri ya mji wa mafinga.

Posted on: October 12th, 2018

Hayo yameleelzwa na mwenyekiti wa chama cha mapinduzi CCM wilaya ya mufindi, mkoani iringa ndugu Yassin daud mlowe baada ya kukagua miradi mbalimbali inayotekelezwa katika halmashauri ya mji wa mafinga ikiwemo ya afya, maji, elimu, na utawala yenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni tano.

“Sisi chama cha mapinduzi wilaya ya mufindi tunaridhika kabisa na utekelezaji wa ilani chini ya Mwenyekiti wetu Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, sisi mawazo yetu ni wananchi waendelee kuwa na imani na serikali yetu” alisema ndugu mlowe

Ameahidi kuwaeleza wajumbe wa halmashauri kuu ya Ccm kwamba wameridhika kabisa na utekekelezaji wa ilani kwenye halmashauri ya mji mafinga na wameona ni miradi mikubwa na inatekelezwa vizuri aidha amewataka wakurugenzi na watumishi wote wa serikali kuendelea kutekeleza miradi yote iliyopo kwa viwango vinavyotakiwa.

Kwa upande wake mwenyekiti wa halmashauri ya mji wa mafinga mh. Charles makoga amempongeza mbunge wa mafinga mjini mh. Cosato chumi kwa juhudi zake binafsi za kutafuta wafadhili kutoka japani ambao wamesaidia ujenzi wa jengo la upasuaji katika hospitali kuu ya mji mafinga lililogharimu kiasi cha fedha milioni mia mbili ishirini.

“Miradi hii yote imetekelezwa kwa viwango vinavyokubalika na kamati imesifia, ni imani yetu kwamba miradi hii italeta manufaa makubwa sana kwa wananchi” alisema mh. makoga.

Nae mkuu wa wilaya mufindi mh. Jamhuri william ambae pia ni mjumbe wa kamati ya siasa ya wilaya ameiambia kamati hiyo kuwa yeye pamoja na wasidizi wake wanahakikisha ilani inatekelezwa kwa wakati na ubora unaotakiwa.

“Mimi ninaomba masuala ya ukaguzi wa miradi yasisubiri ratiba za chama bali kama mkiona kuna umuhimu wakati wowote kwa ukaguzi mnakaribishwa” alisema mh. william.

Aidha mkurugenzi wa halmashauri ya mji wa mafinga bi. Saada Mwaruka ameishukuru kamati ya siasa kwa kutembelea na kukagua miradi na amesema yeye pamoja na timu yake wako tayari muda wote kutekeleza maelekezo ya kamati.

“Na kama tamko la ilani linavyoeleza kwamba chama cha mapinduzi kuendelea kushika dola na kuwaongoza watanzania kwa njia ya demokrasia basi tutahakikisha tunaenda bega kwa bega ili nia hiyo iendeleee kudumu” alisema mwaruka.

Kwa mujibu wa ilani ya Ccm ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 kifungu namba 189, Ccm ina jukumu la kufuatilia kwa karibu utekelezaji wa ilani kwa kupata taarifa za kila baada ya miezi mitatu na pia kwa viongozi kufanya ziara za kutembelea miradi inayotekelezwa katika maeneo yao ili chama kiendelee kukubalika na kuaminiwa na wananchi ni muhimu viongozi wake kuwa karibu na wananchi kwa kuwatembelea, kusikiliza kero zao na kuzitafutia majawabu.

Matangazo

  • NAFASI ZA MASOMO KWA SHULE YA CHIEF MKWAWA ENGLISH MEDIUM- HALMASHAURI YA MJI MAFINGA. NAFASI BADO ZIPO TUPIGIE January 29, 2024
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA YANAPATIKANA www.mafingatc.go.tz July 13, 2024
  • MJI MAFINGA YAVUKA LENGO UKUSANYAJI MAPATO YAKUSANYA ASILIMIA 113 KWA MWAKA WA FEDHA 2023/2024 August 14, 2024
  • MATOKEO YA DARASAM LA SABA 2024 YANAPATIKANA KWENYE TOVUTI YETU .www.mafingatc.go.tz October 30, 2024
  • View All

Habari mpya

  • TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI IMEENDESHA MAFUNZO YA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA KWA AWAMU YA PILI JIMBO LA MAFINGA MJINI

    May 02, 2025
  • MWENGE WA UHURU 2025 KATIKA HALMASHAURI YA MJI MAFINGA UMEPITIA JUMLA YA MIRADI 11 YA MAENDELEO YENYE THAMANI YA SHILINGI BILIONI 3.1

    May 01, 2025
  • MWENGE WA UHURU 2025 KATIKA HALMASHAURI YA MJI MAFINGA UMEPITIA JUMLA YA MIRADI 11 YA MAENDELEO YENYE THAMANI YA SHILINGI BILIONI 3.1

    May 01, 2025
  • MBUNGE WA MAFINGA MJI AKABIDHI MITUNGI YA GESI

    May 01, 2025
  • View All

Video

SENSA NI MAENDELEO
Video zaidi

Viungo Vya Haraka

  • Maelezo na Form Ya kiapo cha uadilifu
  • https://matokeo.necta.go.tz
  • Muongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Utumishi
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya wananchi

Watembeleaji kidunia

world map hits counter

Idadi ya watu wanao tembelea Tovuti

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana na sisi

    Mafinga Town.

    Postal Address: Po.Box 76 Mafinga

    Simu: +255 262 772 393

    Mobile: 026-2772393

    Barua Pepe: td@mafingatc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Copyright ©2018 Mafinga Town Council . All rights reserved.