KARIBU MWENGE WA UHURU HALMASHAURI YA MJI MAFINGA TAREHE 5.5.2023.
MKUU WA WILAYA YA MUFINDI MHESHIMIWA DKT. LINDA SALEKWA ANAWATAARIFU WANANCHI WOTE KUWA, MWENGE WA UHURU KATIKA HALMASHAURI YA MJI MAFINGA UTAPOKELEWA KATIKA VIWANJA VYA SHULE YA MSINGI RUNGEMBA NA MKESHA WA MWENGE UTAFANYIKA KATIKA UWANJA WA MASHUJAA MAFINGA MJINI.
WANANCHI WOTE MNAKARIBISHWA
Mafinga Town.
Postal Address: Po.Box 76 Mafinga
Simu: +255 262 772 393
Mobile: 026-2772393
Barua Pepe: td@mafingatc.go.tz
Copyright ©2018 Mafinga Town Council . All rights reserved.