Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo amefanya ziara katika kituo cha Afya Ifingo na Kugawa vyandarua kwa wakina mama Wajawazito.
Katika Ziara yake ameahidi kuongeza wataalamu wa Afya hasa Madaktari ili huduma kwa wananchi zitolewa kwa wakati kama ambavyo kusudi la Rais Wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan linavyotaka.
Taarifa zaidi inakujia.
Mafinga Town.
Postal Address: Po.Box 76 Mafinga
Simu: +255 262 772 393
Mobile: 026-2772393
Barua Pepe: td@mafingatc.go.tz
Copyright ©2018 Mafinga Town Council . All rights reserved.