Mkuu wa Wilaya ya Mufindi Mheshimiwa Dkt. Linda Salekwa, Mbunge wa Jimbo la Mafinga Mheshimiwa Cosato Chumi, Mwenyekiti wa Mji Mafinga Mheshimiwa Regnant Kivinge na Baraza la Waheshimiwa Madiwani, Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Mafinga Bi, Happiness Laizer na watumishi wote wa Mji Mafinga wanawatakia wanafunzi wote Kila Lakheri katika Mtihani wa Kumaliza kidato cha Sita.
Jumla ya Wanafunzi 357 kutoka Halmashauri ya Mji Mafinga wameanza kufanya Mtihani wa Taifa wa Kumaliza kidato cha Sita leo tarehe 2/5/2023.
Katika wanafunzi 357 wanafunzi Ke ni 127 na Me ni wanafunzi 230, kutoka Shule za Sekondari Zifuatazo:-
-Changarawe,
-Mafinga Seminary,
-Kawawa,
-J..J Mungai .
-Consolata Seminary
Mtihani umenza tarehe 2/5/2023 na unatarajiwa kukamilika tarehe 22/5/2023
IMEANDALIWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI- MAFINGA TC
Mafinga Town.
Postal Address: Po.Box 76 Mafinga
Simu: +255 262 772 393
Mobile: 026-2772393
Barua Pepe: td@mafingatc.go.tz
Copyright ©2018 Mafinga Town Council . All rights reserved.