Kimefanyika Kikao cha Kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Mufindi ambacho kimefunguliwa na Mwenyekiti Wa CCM Wilaya ya Mufindi Mheshimiwa George Kavenuke na kuhudhuriwa na Wajumbe wa Kamati hiyo, Mkurugenzi Mji Mafinga Bi. Fidelica Myovella, Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi, Katibu Tawala Wilaya ya Mufindi Ndugu Reuben Chongolo na Wataalamu wa Halmashauri za Wilaya ya Mufindi.
Taarifa ya Utekelezaji imewasilishwa na Mkuu wa Wilaya ya Mufindi Mheshimiwa Dkt. Linda Salekwa
KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALI- MAFINGA TC
Picha za wajumbe mbalimbali walioudhuria Kikao cha Kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Mufindi.
Mafinga Town.
Postal Address: Po.Box 76 Mafinga
Simu: +255 262 772 393
Mobile: 026-2772393
Barua Pepe: td@mafingatc.go.tz
Copyright ©2018 Mafinga Town Council . All rights reserved.