• Malalamiko |
    • Wasiliana na sisi |
    • Maswali |
    • Baruapepe |
Mafinga Town Council
Mafinga Town Council

Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Mafinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Organization Structure
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Kilimo na umwagiliaji
      • Fedha
      • Mipango na Takwimu
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi
      • Afya
      • Ardhi na Maliasili
      • Community Development,Social welfare Gender and Youth
      • Water
      • Work
    • Vitengo
      • Community
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Manunuzi na Ugavi
      • Uchaguzi
      • Huduma za Kisheria
      • Biashara
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa madiwani
    • Kamati Za Kudumu Za Halmashauri
      • Fedha Na uongozi
      • Mipangomiji Namazingira
      • Uchumi, Fedha Na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao Vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana Na Mwenyekiti
  • Miradi Mbalimbali
    • Progressive projects
    • Itakayo Tekelezwa
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Machapisho ya Habari
    • Videos
    • Hotuba
    • Makitaba ya Picha
    • Taarifa
    • Matukio
  • Malalamiko

KUFANYIKA KWA MTIHANI WA UPIMAJI WA TAIFA WA DARASA LA NNE TAREHE 25-26/10/ 2023.

Posted on: October 25th, 2023

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Mafinga Ndugu Ayoub Kambi anawataarifu wananchi wote kuwa tarehe 25-26/10/2023 wanafunzi wa Darasa na Nne watafanya Mtihani  wa upimaji wa Taifa.


Kwa Halmashauri ya Mji Mafinga wanafunzi

Jumla ya Watahiniwa 3,359 wanatarajiwa kufanya Mtihani huo. Ambapo Wavulana ni 1691  na Wasichana ni 1668.


Aidha Idadi ya shule zinazofanya  Mtihani wa Upimaji kwa mwaka 2023 katika Halmashauri ya Mji Mafinga ni Shule  42, ambapo Shule za Serikali ni 30 na Shule Binafsi ni  12


Mkurugenzi  amewaomba wazazi na walezi kuhakikisha wanawapa ushirikiano wa kutosha wanafunzi hao ili waweze kufanya mitihani yao kwenye mazingira ya Utulivu na Amani.


“Kila la kheri wanafunzi wote wanaofanya mitihani ya Upimaji Darasa la Nne 2023”


Sima Bingileki

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Mafinga TC

25/10/2023



Matangazo

  • NAFASI ZA MASOMO KWA SHULE YA CHIEF MKWAWA ENGLISH MEDIUM- HALMASHAURI YA MJI MAFINGA. NAFASI BADO ZIPO TUPIGIE January 29, 2024
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA YANAPATIKANA www.mafingatc.go.tz July 13, 2024
  • MJI MAFINGA YAVUKA LENGO UKUSANYAJI MAPATO YAKUSANYA ASILIMIA 113 KWA MWAKA WA FEDHA 2023/2024 August 14, 2024
  • MATOKEO YA DARASAM LA SABA 2024 YANAPATIKANA KWENYE TOVUTI YETU .www.mafingatc.go.tz October 30, 2024
  • View All

Habari mpya

  • MKUU WA WILAYA YA MUFINDI DKT LINDA SELEKWA AONGOZA KIKAO CHA LISHE

    August 15, 2025
  • TANZANIA HEADS OF SECONDARY SCHOOL ASSOCIATION

    August 15, 2025
  • ALMASHAURI YA MJI MAFINGA YATOA MAFUNZO KWA VIKUNDI 26 VYA WANUFAIKA WA MIKOPO YA ASILIMIA KUMI

    August 13, 2025
  • WAKAZI WA MTAA WA ISALAVANU WAPEWA ELIMU NA WATUMISHI WA HALMASHAURI YA MJI MAFINGA KUHUSU UTAWALA BORA NA UTUNZAJI WA MAZINGIRA

    August 12, 2025
  • View All

Video

SENSA NI MAENDELEO
Video zaidi

Viungo Vya Haraka

  • Maelezo na Form Ya kiapo cha uadilifu
  • https://matokeo.necta.go.tz
  • Muongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Utumishi
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya wananchi

Watembeleaji kidunia

world map hits counter

Idadi ya watu wanao tembelea Tovuti

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana na sisi

    Mafinga Town.

    Postal Address: Po.Box 76 Mafinga

    Simu: +255 262 772 393

    Mobile: 026-2772393

    Barua Pepe: td@mafingatc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Copyright ©2018 Mafinga Town Council . All rights reserved.