Maafisa Habari kutoka Mkoa wa Iringa pamoja na Halmashauri ya Mji Mafinga wameshiriki Kikao cha chama cha Maafisa Mawasiliano ya Serikali (TAGCO) kinachofanyika Morena Hotel Mkoani Morogoro lengo ni kuwajengea uwezo Maafisa Mawasiliano Serikalini katika kutekeleza majukumu yao ya kila siku kwa namna inayoendana na wakati uliopo.
Kikao hiki kinawaleta pamoja Maafisa Mawasiliano kutoka sehemu mbalimbali za Serikali kwa lengo la kubadilisha a uzoefu,kujengeana uwezo na kuimarisha mikakati ya Mawasiliano Serikalini.
Morogoro
Mafinga Town.
Postal Address: Po.Box 76 Mafinga
Simu: +255 262 772 393
Mobile: 026-2772393
Barua Pepe: td@mafingatc.go.tz
Copyright ©2018 Mafinga Town Council . All rights reserved.