Madiwani wa Halmashauri ya Mji wa Mafinga wilaya ya Mufindi Mkoani Iringa, wamemshukuru Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo, Fidelica Myovella Kwa umahili wake katika Utendaji kazi Katika Halmashauri hiyo.
“Sio Kwa ubaya, ila tumekuwa na Wakurugenzi wengi kwenye Halmashauri Yetu , lakini Kwa Sasa hivi Halmashauri imetulia sana kwasababu ya Uwepo wa Mama Myovella”
Shukrani hizo Kwa DED Fidelica Myovella zimewasilishwa Mei 16, 2025 na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji wa Mafinga wilayani Mufindi, Regnant Kivinge, Kwa niaba ya Madiwani wote wa Halmashauri hiyo katika Mkutano wa Baraza la Madiwani wa Halmashauri hiyo baada ya kumalizika Kwa Mkutano wa kujadili Taarifa za Robo ya Tatu ya Mwaka wa Fedha 2024/2025.
Mafinga Town.
Postal Address: Po.Box 76 Mafinga
Simu: +255 262 772 393
Mobile: 026-2772393
Barua Pepe: td@mafingatc.go.tz
Copyright ©2018 Mafinga Town Council . All rights reserved.