Udumavu ni hali duni ya lishe inayotokea ndani ya siku 1000 kuanzia mimba kutungwa mpaka mtoto anapozaliwa na kufikisha miaka miwili.
Udumavu unaathiri mwili na akili kwa mtoto hivyo ni muhimu mtoto apewa chakula bora na lishe bora.
Mpe mwanao vyakula vya makundi haya:-
-Vyakula vya nafaka, mizizi na ndizi.
-Vyakula vyenye asili ya wananyama na kunde.
-Matunda.
-Mbogamboga.
-Mafuta, Sukari na Asali.
Ili kumkinga mtoto na udumavu.
KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI- MAFINGATC
Mafinga Town.
Postal Address: Po.Box 76 Mafinga
Simu: +255 262 772 393
Mobile: 026-2772393
Barua Pepe: td@mafingatc.go.tz
Copyright ©2018 Mafinga Town Council . All rights reserved.