Timu ya wanaume mpira wa wavu katika Mashindano ya SHIMISEMITA leo tarehe 22/8/2025 imeimwagia Maji ya baridi timu kutoka Karatu kwa seti 2-0 katika mchezo uliochezwa viwanja vya Tanga Tech.
Akizungumza Kocha wa vmpira wa wavu Rafa amesema kuwa siku ilikuwa ngumu kwani Timu imetakiwa kucheza mechi mbili na mechi zote imeshinda.
Katika Mchezo na Singida DC timu imecheza Seti 3 ambapo seti moja wameshinda Singida na mbili kushinda Mafinga TC
“Mchezo ulikuwa mgumu ila wachezaji tumepambana sana kwani hata timu ya Singida ni timu nzuri sema mikakati yetu imepelekea kushinda
Mafinga Town.
Postal Address: Po.Box 76 Mafinga
Simu: +255 262 772 393
Mobile: 026-2772393
Barua Pepe: td@mafingatc.go.tz
Copyright ©2018 Mafinga Town Council . All rights reserved.