• Malalamiko |
    • Wasiliana na sisi |
    • Maswali |
    • Baruapepe |
Mafinga Town Council
Mafinga Town Council

Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Mafinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Organization Structure
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Kilimo na umwagiliaji
      • Fedha
      • Mipango na Takwimu
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi
      • Afya
      • Ardhi na Maliasili
      • Community Development,Social welfare Gender and Youth
      • Water
      • Work
    • Vitengo
      • Community
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Manunuzi na Ugavi
      • Uchaguzi
      • Huduma za Kisheria
      • Biashara
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa madiwani
    • Kamati Za Kudumu Za Halmashauri
      • Fedha Na uongozi
      • Mipangomiji Namazingira
      • Uchumi, Fedha Na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao Vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana Na Mwenyekiti
  • Miradi Mbalimbali
    • Progressive projects
    • Itakayo Tekelezwa
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Machapisho ya Habari
    • Videos
    • Hotuba
    • Makitaba ya Picha
    • Taarifa
    • Matukio
  • Malalamiko

MAFINGA TC YAKABIDHI MADARASA 10 YA KIDATO CHA KWANZA YALIYOKAMILIKA -2023 KWA RC IRINGA.

Posted on: December 22nd, 2022

MAFINGA TC YAKABIDHI MADARASA 10 YA KIDATO CHA KWANZA -2023 KWA RC IRINGA.

Mkuu wa Wilaya ya Mufindi Mheshimiwa Saad Mtambule kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mheshimiwa Halima Dendego amepokea madarasa kumi kutoka kwa Halmashauri ya Mji Mafinga yaliyokamilika yenye thamani ya shilingi milioni 200 fedha kutoka Serikali Kuu kwaajili ya Wanafunzi wa kidato cha Kwanza 2023.

Akipokea madarasa hayo Mkuu wa Wilaya ya Mufindi Amesema Serikali imejitahidi kuleta fedha kwaajili ya ujenzi wa madarasa ili wanafunzi waweze kusoma kwenye Mazingira bora ili kuboresha hali ya ufaulu na Mazingira mazuri ya kusomea hivyo walimu wahakikishe ufaulu wa Shule na Matokeo yanaendana na ubora wa majengo.

“ walimu hakikisheni ubora wa Shule unaendana na matokeo mazuri ya Shule hatutaki ziro, hakikisheni ufaulu unaongezeka na nidhamu ya walimu na wanafunzi Ndio Inaleta matokeo chanya kwani kukiwa na nidhamu kila mtu atatimiza wajibu Wake” Saad Mtambule Dc Mufindi.

Akizungumza kwenye hafla hiyo ya Makabidhiano, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa ACP Allan Bukumbi amesema kuwa Ushirikiano mkubwa ambao umeonyeshwa na wana mafinga kati ya walimu, uongozi wa Chama Cha Mapinduzi na watumishi wa Halmashauri ndio Matokeo ya Ujenzi huu mzuri wa madarasa. Matumizi ya fedha na ubora wa majengo unaendana hakika tunawapongeza.

Nae Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Mufindi Mheshimiwa George Kavinuke amesema kuwa Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr.Samia Suluhu Hassan amesema kuwa Serikali ya Awamu ya sita imekuwa ikileta mabilioni ya fedha kwenye Halmashauri ikiwa ni kuboresha Miundo Mbinu ya Shule, hivyo kama Halmashauri tuhakikishe tunatenga bajeti kwaajili ya kuboresha madarasa yaliyochakaa kwenye shule hizo ili kusaidia kuunga mkono juhudi za Serikali za kuhakikisha wanafunzi wanasomea katika mazingira bora.

 Jumla ya madarasa 10 ya kidato cha kwanza 2023 yamekamilika na kukabidhi kwa Mkuu wa Mkoa wa Iringa . Halmashauri ya Mji

Mafinga ilipokea kiasi cha Shilingi milioni 200 kutoka Serikali Kuu mwezi wa Kumi 2022 kwaajili ya Ujenzi wa madarasa kumi ambapo Bumilayinga Sekondari walipokea kiasi cha Shilingi milioni 40 Ujenzi wa madarasa 2, Isalavanu Sekondari madarasa 2 shilingi milioni 40, Ihongole Sekondari darasa 1,Shilingi milioni 20,Upendo Sekondari madarasa 3, walipokea milioni 60 na Luganga sekondari darasa 1 milioni 20.

Hafla ya makabidhiano imehudhuriwa na Kamati yq Ulinzi ya Mkoa, Kamati ya Ulinzi wilaya, Mwenezi Wilaya ya Mufindi, viongozi mbalimbali wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) waheshimiwa madiwani wananchi na watumishi wa Halmashauri ya Mji Mafinga wakiongozwa Kaimu Mkurugenzi  Mwalimu Doroth Kobelo

IMEANDALIWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO MAFINGA TC

Sima  Bingileki

Kaimu Mkuu wa Kitengo Cha Mawasiliano Serikalini- Mafinga TC


Matangazo

  • NAFASI ZA MASOMO KWA SHULE YA CHIEF MKWAWA ENGLISH MEDIUM- HALMASHAURI YA MJI MAFINGA. NAFASI BADO ZIPO TUPIGIE January 29, 2024
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA YANAPATIKANA www.mafingatc.go.tz July 13, 2024
  • MJI MAFINGA YAVUKA LENGO UKUSANYAJI MAPATO YAKUSANYA ASILIMIA 113 KWA MWAKA WA FEDHA 2023/2024 August 14, 2024
  • MATOKEO YA DARASAM LA SABA 2024 YANAPATIKANA KWENYE TOVUTI YETU .www.mafingatc.go.tz October 30, 2024
  • View All

Habari mpya

  • TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI IMEENDESHA MAFUNZO YA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA KWA AWAMU YA PILI JIMBO LA MAFINGA MJINI

    May 02, 2025
  • MWENGE WA UHURU 2025 KATIKA HALMASHAURI YA MJI MAFINGA UMEPITIA JUMLA YA MIRADI 11 YA MAENDELEO YENYE THAMANI YA SHILINGI BILIONI 3.1

    May 01, 2025
  • MWENGE WA UHURU 2025 KATIKA HALMASHAURI YA MJI MAFINGA UMEPITIA JUMLA YA MIRADI 11 YA MAENDELEO YENYE THAMANI YA SHILINGI BILIONI 3.1

    May 01, 2025
  • MBUNGE WA MAFINGA MJI AKABIDHI MITUNGI YA GESI

    May 01, 2025
  • View All

Video

SENSA NI MAENDELEO
Video zaidi

Viungo Vya Haraka

  • Maelezo na Form Ya kiapo cha uadilifu
  • https://matokeo.necta.go.tz
  • Muongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Utumishi
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya wananchi

Watembeleaji kidunia

world map hits counter

Idadi ya watu wanao tembelea Tovuti

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana na sisi

    Mafinga Town.

    Postal Address: Po.Box 76 Mafinga

    Simu: +255 262 772 393

    Mobile: 026-2772393

    Barua Pepe: td@mafingatc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Copyright ©2018 Mafinga Town Council . All rights reserved.