• Malalamiko |
    • Wasiliana na sisi |
    • Maswali |
    • Baruapepe |
Mafinga Town Council
Mafinga Town Council

Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Mafinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Organization Structure
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Kilimo na umwagiliaji
      • Fedha
      • Mipango na Takwimu
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi
      • Afya
      • Ardhi na Maliasili
      • Community Development,Social welfare Gender and Youth
      • Water
      • Work
    • Vitengo
      • Community
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Manunuzi na Ugavi
      • Uchaguzi
      • Huduma za Kisheria
      • Biashara
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa madiwani
    • Kamati Za Kudumu Za Halmashauri
      • Fedha Na uongozi
      • Mipangomiji Namazingira
      • Uchumi, Fedha Na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao Vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana Na Mwenyekiti
  • Miradi Mbalimbali
    • Progressive projects
    • Itakayo Tekelezwa
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Machapisho ya Habari
    • Videos
    • Hotuba
    • Makitaba ya Picha
    • Taarifa
    • Matukio
  • Malalamiko

MAFUNZO HAYA YA UTAWALA BORA NA URAIA YATAWAWEZESHA KUTEKELEZA MAJUKUMU YENU KWA KUZINGATIA HAKI ZA BINADAMU, UTAWALA BORA, MAADILI YA MIIKO YA UONGOZI KWA MUJIBU WA SHERIA NA KANUNI ZILIZOWEKWA

Posted on: December 13th, 2024



“ Mafunzo haya ya Utawala Bora na Uraia yatawawezesha kutekeleza majukumu yenu kwa kuzingatia Haki za binadamu, Utawala Bora, Maadili ya Miiko ya Uongozi kwa Mujibu wa Sheria na Kanuni zilizowekwa”

Kauli hiyo imetolewa na Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Mufindi ambaye ni Katibu Tawala Ndugu Reuben Chongolo alipokuwa akifungua mafunzo ya siku moja kwa Wajumbe wa Kamati ya Usalama, Wataalamu na Watendaji wa Kata kuhusu Utawala Bora yanayotolewa na Kuratibiwa na Wizara ya Katiba na Sheria.

Akizungumza Wakili Dorice Dario kutoka Wizara ya Katiba na Sheria amesema lengo la kutoa mafunzo haya ni kuwajengea uwezo washiriki kuhusu haki na wajibu wao kikatiba, kuongeza uelewa kwa washiriki kwenye masuala ya Uraia, Haki za Binadamu, Misingi ya Utawala Bora,Demokrasia, Serikali za Mitaa na vyombo vya ulinzi na Usalama na kuwawezesha walengwa kutekeleza majukumu yao kwa kuzingatia Haki za Binadamu na Utawala Bora.

Aidha amesema Mada mbalimbali zimewasilishwa ikiwemo mada ya Madaraka kwa Umma iliyowasilishwa na Bi, Yustina Yonnas Bubinza Kutoka Ofisi ya Rais Tamisemi, Mada ya Demokrasia na Utawala Bora iliyowasilishwa na Ndugu, Yohana Mcharo, mada ya Ulinzi na Usalama iliyowadilishwa na Mjumbe kutoka Jeshi la Polisi.

Wizara ya Katiba na Sheria kushirikiana na wawezeshaji kutoka OR- TAMISEMI, Tume ya Haki za binadamu na Jeshi la Polisi ambapo mafunzo yamehudhuriwa na Kamati ya Ulinzi na Usslama, Mkurugenzi Mji Mafinga bi, Fidelica Myovella, Kaimu Mkurugenzi Wilaya ya Mufindi, watendaji wa Kata za Wilaya ya Mufindi na Wakuu wa Idara.

Wizara ya Katika na Sheria pia inaendelea na Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia( Mama Samia Legal Aid Campaigh ambapo kwa sasa Kampeni hiyo inatekelezwa katika Mikoa 4 uliwemo Mkoa wa Iringa.

Imeandaliwa na
Kitengo cha Mawasiliano Serikalini- Mafinga TC
Sima Mark Bingileki
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini.









Washiriki mbalimbali wa mafunzo ya  ya Utawala Bora na Uraia ambayo  yatawawezesha kutekeleza majukumu  kwa kuzingatia Haki za binadamu, Utawala Bora, Maadili ya Miiko ya Uongozi kwa Mujibu wa Sheria na Kanuni zilizowekwa ambayo yametolewa hivi karibuni Wilaya ya Mufindi.

Matangazo

  • NAFASI ZA MASOMO KWA SHULE YA CHIEF MKWAWA ENGLISH MEDIUM- HALMASHAURI YA MJI MAFINGA. NAFASI BADO ZIPO TUPIGIE January 29, 2024
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA YANAPATIKANA www.mafingatc.go.tz July 13, 2024
  • MJI MAFINGA YAVUKA LENGO UKUSANYAJI MAPATO YAKUSANYA ASILIMIA 113 KWA MWAKA WA FEDHA 2023/2024 August 14, 2024
  • MATOKEO YA DARASAM LA SABA 2024 YANAPATIKANA KWENYE TOVUTI YETU .www.mafingatc.go.tz October 30, 2024
  • View All

Habari mpya

  • VITUO VYOTE VYA KUTOLEA HUDUMA ZA AFYA VIFUNGWE MFUMO WA GoT-HOMIS

    June 20, 2025
  • HALMASHAURI YA MJI MAFINGA YAPATA HATI SAFI YA UKAGUZI KUTOKANA NA TAARIFA YA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI (CAG) KWA HESABU ZINAZOISHIA TAREHE 30 JUNI 2024

    June 19, 2025
  • HALMASHAURI YA NKASI YAITEMBELEA MAFINGA MJI KUBADILISHANA UZOEFU

    June 18, 2025
  • MWANZA NA DODOMA ZATINGA FAINALI SOKA WAVULANA UMITASHUMTA 2025

    June 17, 2025
  • View All

Video

SENSA NI MAENDELEO
Video zaidi

Viungo Vya Haraka

  • Maelezo na Form Ya kiapo cha uadilifu
  • https://matokeo.necta.go.tz
  • Muongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Utumishi
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya wananchi

Watembeleaji kidunia

world map hits counter

Idadi ya watu wanao tembelea Tovuti

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana na sisi

    Mafinga Town.

    Postal Address: Po.Box 76 Mafinga

    Simu: +255 262 772 393

    Mobile: 026-2772393

    Barua Pepe: td@mafingatc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Copyright ©2018 Mafinga Town Council . All rights reserved.