• Malalamiko |
    • Wasiliana na sisi |
    • Maswali |
    • Baruapepe |
Mafinga Town Council
Mafinga Town Council

Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Mafinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Organization Structure
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Kilimo na umwagiliaji
      • Fedha
      • Mipango na Takwimu
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi
      • Afya
      • Ardhi na Maliasili
      • Community Development,Social welfare Gender and Youth
      • Water
      • Work
    • Vitengo
      • Community
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Manunuzi na Ugavi
      • Uchaguzi
      • Huduma za Kisheria
      • Biashara
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa madiwani
    • Kamati Za Kudumu Za Halmashauri
      • Fedha Na uongozi
      • Mipangomiji Namazingira
      • Uchumi, Fedha Na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao Vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana Na Mwenyekiti
  • Miradi Mbalimbali
    • Progressive projects
    • Itakayo Tekelezwa
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Machapisho ya Habari
    • Videos
    • Hotuba
    • Makitaba ya Picha
    • Taarifa
    • Matukio
  • Malalamiko

MAFUNZO YA NEST KWA WAKUU WA SHULE ZA SEKONDARI, MSINGI NA WALIMU WA MANUNUZI KATIKA HALMASHAURI YA MJI MAFINGA YENYE LENGO LA KUTATUA CHANGAMOTO ZINAZOTOKANA NA MATUMIZI YA MFUMO WA NEST.

Posted on: January 24th, 2025

“ Kuna watu hawafungui mfumo wa NeST kwa wakati hivyo kusababisha kupitwa na wakati, tujitahidi sana kuujua mfumo na kuingia kwa wakati kwa kuwa Miradi mingi tunayoitekeleza inakuja na maelekezo kwa kufuata sheria na kanuni”
Kauli hiyo imesemwa na Mkurugenzi wa Halmashauri ya MJI Mafinga Bi Fidelica Myovella alipokuwa akifungua mafunzo ya matumizi Sahihi ya Mfumo wa Manunuzi NeST, mafunzo yanayotolewa kwa Wakuu wa Shule za Sekondari, Msingi na walimu wa Manunuzi katika Halmashauri ya MJI Mafinga yenye lengo la kutatua changamoto zinazotokana na matumizi ya mfumo wa NeST.

Amesema Serikali inaleta kila siku Fedha kwaajili ya Utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo hivyo lazima katika kutekeleza Miradi hiyo tufuate, Sheria, kanuni za Manunuzi ili kumali za Miradi kwa wakati na kujenga Miradi kwa ubora.

“Tunaishukuru sana Serikali inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kutuletea Fedha za Miradi ya Maendeleo, katika Kutekeleza Miradi hii lazima tufuate maelekezo yote ili Miradi ikamilike kwa wakati uliopangwa na kufuata taratibu zote za manunuzi.
“ Nawaomba sana walimu tusikwamishane kwenye utekelezaji wa Miradi hii ya maendeleo kila mmoja awe mzalendo, aumiliki Mradi na kuwa mfuatiliaji ili kuhakikisha Miradi inakamilika kwa wakati na kufuata kanuni zote na maelekezo.

Mafunzo ya NeST yanatolewa kwa walimu wa Manunuzi na Wakuu wa Shule za Msingi na Sekondari yakiendeshwa na Idara ya Manunuzi kwa kushirikiana na Idara za ELIMU Sekondari na Msingi.
NeST ni Mfumo mpya wa Kielektoniki wa Manunuzi ya Umma.

Sima Bingileki
Afisa Habari Mkuu- Mafinga TC

Walimu wakifatilia mafunzo ya mfumo wa manunuzi Nest katika Halmashauri ya Mji Mafinga.

Matangazo

  • NAFASI ZA MASOMO KWA SHULE YA CHIEF MKWAWA ENGLISH MEDIUM- HALMASHAURI YA MJI MAFINGA. NAFASI BADO ZIPO TUPIGIE January 29, 2024
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA YANAPATIKANA www.mafingatc.go.tz July 13, 2024
  • MJI MAFINGA YAVUKA LENGO UKUSANYAJI MAPATO YAKUSANYA ASILIMIA 113 KWA MWAKA WA FEDHA 2023/2024 August 14, 2024
  • MATOKEO YA DARASAM LA SABA 2024 YANAPATIKANA KWENYE TOVUTI YETU .www.mafingatc.go.tz October 30, 2024
  • View All

Habari mpya

  • VITUO VYOTE VYA KUTOLEA HUDUMA ZA AFYA VIFUNGWE MFUMO WA GoT-HOMIS

    June 20, 2025
  • HALMASHAURI YA MJI MAFINGA YAPATA HATI SAFI YA UKAGUZI KUTOKANA NA TAARIFA YA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI (CAG) KWA HESABU ZINAZOISHIA TAREHE 30 JUNI 2024

    June 19, 2025
  • HALMASHAURI YA NKASI YAITEMBELEA MAFINGA MJI KUBADILISHANA UZOEFU

    June 18, 2025
  • MWANZA NA DODOMA ZATINGA FAINALI SOKA WAVULANA UMITASHUMTA 2025

    June 17, 2025
  • View All

Video

SENSA NI MAENDELEO
Video zaidi

Viungo Vya Haraka

  • Maelezo na Form Ya kiapo cha uadilifu
  • https://matokeo.necta.go.tz
  • Muongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Utumishi
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya wananchi

Watembeleaji kidunia

world map hits counter

Idadi ya watu wanao tembelea Tovuti

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana na sisi

    Mafinga Town.

    Postal Address: Po.Box 76 Mafinga

    Simu: +255 262 772 393

    Mobile: 026-2772393

    Barua Pepe: td@mafingatc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Copyright ©2018 Mafinga Town Council . All rights reserved.