Mashindano ya UMITASHUMTA katika Halmashauri ya Mji Mafinga yamefanyika katika kanda sita.
Kanda hizo ni kanda ya Bumilayinga, Kinyanambo, Kanda ya Kati, Kanda ya Rungemba, Isalavanu na kanda ya Kikombo.
Akizungumza na wanafunzi walioshiriki mashindano hayo, Afisa Elimu Msingi Bi, Dorothy Kobelo ameendelea kuhamasisha michezo na taalamu kwa shule zote na kuwataka wanafunzi hao kuzingatia michezo kwani inawajenga kiafya, Kitaalamu pamoja na kuwajenga kiakili.
imeandaliwa na Ofisi ya habari- Mafinga Mji
Mafinga Town.
Postal Address: Po.Box 76 Mafinga
Simu: +255 262 772 393
Mobile: 026-2772393
Barua Pepe: td@mafingatc.go.tz
Copyright ©2018 Mafinga Town Council . All rights reserved.