Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki na Mbunge wa Jimbo la Mafinga Mjini Mheshimiwa Cosato Chumi amekabidhi mitungi ya gesi kwa Walimu wakuu wa Shule za Msingi na Secondary lengo ni kuunga mkono juhudi za Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan katika matumizi ya nishati safi.
Kwa upande wake Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Mafinga Bi, Fidelica Myovela amemshukuru Mhe, Mbunge “Tunakushuru sana kwa mitungi hii ya gesi kwani itasaidia kupunguza uharibifu wa mazingira katika maeneo yetu yanayotuzunguka” Amesema Fidelica Myovela.
Kwa pamoja Walimu kutoka Shule za binafsi na Serikali ambao wamekabidhiwa mitungi ya gesi wamemshukuru Mhe Mbunge na kuhaidi kuwa mabalozi wa nishati safi.
Na,
Anna Mdehwa,
Afisa Habari.
Mafinga Town.
Postal Address: Po.Box 76 Mafinga
Simu: +255 262 772 393
Mobile: 026-2772393
Barua Pepe: td@mafingatc.go.tz
Copyright ©2018 Mafinga Town Council . All rights reserved.