Akizungumza baada ya kupata ushindi kwa kundi namba 4 Tonely Mkimbo amesema haikuwa rahisi kikubwa ni mazoezi na Mikakati aliyoanza nayo na kusoma washiriki wenzake.
“ Kwakuwa hii ni hatua ya makundi nina uhakika nitafanikiwa kufika fainali kwa kufanya mazoezi na kusimamia mikakati niliyojowekea na kufuata viongozi wa mchezo”
Riadha mita 1500 imefanyika katika uwanja wa Tanga Tech katika Mashindano ya SHIMISEMITA 2025 Jijini Tanga.
Na Sima Bingileki
Afisa Habari Mkuu
Mafinga Town.
Postal Address: Po.Box 76 Mafinga
Simu: +255 262 772 393
Mobile: 026-2772393
Barua Pepe: td@mafingatc.go.tz
Copyright ©2018 Mafinga Town Council . All rights reserved.