• Malalamiko |
    • Wasiliana na sisi |
    • Maswali |
    • Baruapepe |
Mafinga Town Council
Mafinga Town Council

Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Mafinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Organization Structure
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Kilimo na umwagiliaji
      • Fedha
      • Mipango na Takwimu
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi
      • Afya
      • Ardhi na Maliasili
      • Community Development,Social welfare Gender and Youth
      • Water
      • Work
    • Vitengo
      • Community
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Manunuzi na Ugavi
      • Uchaguzi
      • Huduma za Kisheria
      • Biashara
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa madiwani
    • Kamati Za Kudumu Za Halmashauri
      • Fedha Na uongozi
      • Mipangomiji Namazingira
      • Uchumi, Fedha Na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao Vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana Na Mwenyekiti
  • Miradi Mbalimbali
    • Progressive projects
    • Itakayo Tekelezwa
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Machapisho ya Habari
    • Videos
    • Hotuba
    • Makitaba ya Picha
    • Taarifa
    • Matukio
  • Malalamiko

MKURUGENZI MAFINGA TC AFANYA ZIARA ZA KUJENGA MAHUSIANO NA WADAU WA MAENDELEO WALIO KATIKA HALMASHAURI YA MJI MAFINGA.

Posted on: November 13th, 2022

MKURUGENZI MAFINGA TC AFANYA ZIARA ZA KUJENGA MAHUSIANO NA WADAU WA MAENDELEO  WALIO KATIKA HALMASHAURI YA MJI MAFINGA.

“ Nimeamua kuja kuogea na Uongozi wa Kiwanda na kuona shughuli zinazofanywa kwenye kiwanda hiki lengo likiwa ni kujenga mahusiano  kati ya Halmashauri na Uongozi wa kiwanda. Ni kweli kiwanda kinalipa tozo mbalimbali za Halmashauri lakini nimeona niwe natembelea wadau wa Maendeleo  katika Halmashauri ya Mji Mafinga watufahamu na kupokea changamoto kama wanazo  kuhusu huduma tunazowapatia kama Halmashauri.”


Kauli hiyo imetolewa na  Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Mafinga Bi, Happiness Laizer alipokuwa akizungumza na Mkurugenzi wa Kiwanda cha YISEN INTERNATIONAL INVESTMENT CO LTD Ndugu  Zheng Ronglan kilichopo eneo la Luganga katika Halmashauri ya Mji Mafinga.

Bi Laizer amesema wamiliki wa viwanda na taasisi lazima wanamengi ya kutushauri au kutuambia kuhusu huduma wanazozipata kutoka Mji Mafinga hivyo kwa kuwafuata kwanza wanaona Serikali inawathamini na kama kuna changamoto yoyote wanakuwa huru kuieleza na Halmashauri kuipokea na kuifanyia kazi.

Akiwa ameambatana na  baadhi wakuu wa Idara wa Halmashauri hiyo wameweza kujionea shughuli zinazofanyika kiwandani hapo na amewakaribisha watu binafsi na wafanyabiashara wadogo wadogo kuja kununua bidhaa kiwandani hapo kwa gharama nafuu.

Wakuu wa Idara waliombatana na Mkurugenzi ni pamoja na  Mkuu wa Idara ya Mipango Apolinaly Seyia, Mkuu wa Idara ya Ukaguzi wa Ndani Erick Ntikahela pamoja na Mhandisi Joseph Temba.

Bw. Joakim Waswa Mkalimali kiwanda cha YISEN INTERNATINAL INVESTMENT CO LTD amesema kiwanda kina Zaidi ya wafanyakazi 800 kinazalisha marineboard kuuza kwa wafanyabiashara na kuuza nje ya nchi.

IMEANDALIWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI-MAFINGATC

Sima Bingileki

Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano –Mafinga Tc.

Matangazo

  • NAFASI ZA MASOMO KWA SHULE YA CHIEF MKWAWA ENGLISH MEDIUM- HALMASHAURI YA MJI MAFINGA. NAFASI BADO ZIPO TUPIGIE January 29, 2024
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA YANAPATIKANA www.mafingatc.go.tz July 13, 2024
  • MJI MAFINGA YAVUKA LENGO UKUSANYAJI MAPATO YAKUSANYA ASILIMIA 113 KWA MWAKA WA FEDHA 2023/2024 August 14, 2024
  • MATOKEO YA DARASAM LA SABA 2024 YANAPATIKANA KWENYE TOVUTI YETU .www.mafingatc.go.tz October 30, 2024
  • View All

Habari mpya

  • TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI IMEENDESHA MAFUNZO YA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA KWA AWAMU YA PILI JIMBO LA MAFINGA MJINI

    May 02, 2025
  • MWENGE WA UHURU 2025 KATIKA HALMASHAURI YA MJI MAFINGA UMEPITIA JUMLA YA MIRADI 11 YA MAENDELEO YENYE THAMANI YA SHILINGI BILIONI 3.1

    May 01, 2025
  • MWENGE WA UHURU 2025 KATIKA HALMASHAURI YA MJI MAFINGA UMEPITIA JUMLA YA MIRADI 11 YA MAENDELEO YENYE THAMANI YA SHILINGI BILIONI 3.1

    May 01, 2025
  • MBUNGE WA MAFINGA MJI AKABIDHI MITUNGI YA GESI

    May 01, 2025
  • View All

Video

SENSA NI MAENDELEO
Video zaidi

Viungo Vya Haraka

  • Maelezo na Form Ya kiapo cha uadilifu
  • https://matokeo.necta.go.tz
  • Muongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Utumishi
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya wananchi

Watembeleaji kidunia

world map hits counter

Idadi ya watu wanao tembelea Tovuti

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana na sisi

    Mafinga Town.

    Postal Address: Po.Box 76 Mafinga

    Simu: +255 262 772 393

    Mobile: 026-2772393

    Barua Pepe: td@mafingatc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Copyright ©2018 Mafinga Town Council . All rights reserved.