Mkuu wa Mkoa wa Iringa Bi.Amina Masenza jana tarehe 5/4/2017 alizindua zoezi la ugawaji wa vitambilisho vya Taifa katika Halmashauri ya Mji wa Mafinga.Zoezi la uandikishaji wa vitambulisho vya Taifa katika Halmashauri ya Mji wa Mafinga lilianza toka tarehe 3/12/2016 ambapo jumla ya wakazi 46,600 walijitokeza kujiandikisha
Mafinga Town.
Postal Address: Po.Box 76 Mafinga
Simu: +255 262 772 393
Mobile: 026-2772393
Barua Pepe: td@mafingatc.go.tz
Copyright ©2018 Mafinga Town Council . All rights reserved.